Pages

Subscribe:

Thursday, March 16, 2017

VANESSA MDEE KUPAMBANA JUKWAA MOJA NA WASANII HAWA KUTOKA NIGERIA


Mbali na kutegemea kazi mpya kutoka kwa ‘Cash Madame’, Vanessa Mdee ataungana na msataa wa Nigeria kama Davido, Burna Boy, Seyi Shay na Reekado Banks wa Mavin Reords kutumbwiza kwenye tamasha kubwa la muziki nchini humo ‘Gidi Fest’ linalotegemea kufanyika mwezi wa nne kwenye msimu wa sikukuu za pasaka.

0 comments:

Post a Comment