Friday, March 24, 2017
DARASSA AMWOMBA MUNGU ASHUKE AJE KUIONGOZA TANZANIA
Ukiachana na Wanasiasa kuandika kile ambacho wanaendelea kuandika kila kukicha kuhusiana na hali inavyoendelea katika nchi yetu sasa hivi, wapo wanamuziki ambao nao pia wameamua kufunguka kile ambacho wanakiona kwa muono wao.
Mmoja kati ya hao ni hitmaker wa ngoma ya Muziki Darassa CMG ambaye yeye ameandika katika ukurasa wake wa instagram caption ambayo inaonyesha kabisa ni jinsi gani ambvyo haridhishwi na...
hali inavyoendelea nchini sasa hivi.
Kwenye mtandao wa instagram darassa amepost maneno haya:
BABA MUNGU SHUKA WEWE UENDESHE NCHI YETU! BORA TUPOTEE SISI NI SAWA!!!! vip kuhusu watoto wadogo na wanawake!!!! Future ya nchi inaogopesha na huitaji macho kuona hili 🙏 sina chama wala upande m1 kwenye shilling!!! maana sijui hata nani anatupenda kweli sisi wananchi na atakua tayari kututhamini!
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment