Msanii Quickrocka (Switcher Baba) amesema hawezi kujisifia kuwa raia wa
Tanzania kuanzia sasa kutokana na kile anachokiamini yeye kutendeka
ndivyo sivyo. Hayo yamekuja baada ya muda mfupi Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza
la Mawaziri na kumuweka pembeni Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo.
'I don’t feel proud' kuwa
Mtanzania 'anymore'…Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi
wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa Huku...
wanaozingua wanaendelea
kupeta. Nape alikua Waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na
Wanahabari". Ameandika msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment