Ni kupitia Instagram page yake muda mchache uliopita Simba, Chibu Dangote ametusanua kuhusu video ya ngoma yake ya Kidogo ambayo amewashirikisha P Square kuwa imefikisha views zaidi ya Million 10 mpaka sasa katika mtandao wa Youtube.
Post ambayo iliambatana na kaujumbe fulani hivi kuhusu kuachia kwake Album siku za karibuni na kuamua kuitunuku jina la...
”Album of The Century”
Ni shahuku la kila mmoja mpenzi wa muziki mzuri kuisubiri kwa hamu Album hiyo, na siku zote waswahili husema kwamba “Subira yavuta heri”.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment