Harmorapa limekuwa jina tajika kwa sasa si nchini Tanzania pekee bali tayari limeanza kupenya eneo zima la Afrika Mashariki.
Mkali huyo kwa sasa anatamba na wimbo
Kiboko ya Mabishoo aliyoifanya hivi karibuni akimshirikisha mkongwe wa
Bongo flava Juma Nature aka Sir Nature. Kama utani tu, rapper huyu
chipukizi amejizolea umaarufu wa ghafla haswa...
tu alipojikuta ameingia
kwenye bifu na dancer wa staa wa Marry You na rais wa WCB Diamond
Platnumz, Moze Iyobo.
Katika mahojiano na Papo kwa Papo, Harmorapa alifunguka na kuweka wazi juu ya ngoma zake 3 kali anazozikubali ambapo alisema “Nyimbo tatu ambazo nazikubali ni Aje ya Ali Kiba, Mwana ya Ali Kiba na Bongo hip hop ya FidQ”



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment