Pages

Subscribe:

Saturday, March 11, 2017

DIAMOND AWEKA WAZI TOFAUTI YA WASAFI.COM NA TOVUTI ZINGINE


Jana ilizinduliwa tovuti mpya ya kuuza nyimbo online inayomilikiwa na WCB Wasafi ya Diamond Platnumz. Tovuti hiyo inatambulika kama wasafi.com, Sio mara ya kwanza kutokea kwa tovuti kama hizo kwa hapa Bongo, tuliwahikuziona nyingine nyingi kama Mkito, Africasongs na nyinginezo.
 
Mwandishi alimtafuta Diamond Platnumz na kutaka kujua utofauti wa tovuti yake na  nyingine zilizopita ni upi. “Wasafi.Com inamuwezesha mtu kununua nyimbo kwa kutumia kadi za...
benki, pia wasafi.com ukiingia haihitaji kulog in kama vile facebook na vitu kama hivyo, we unaingia unanunua nyimbo yako unatulia zako.” Alisema Diamond Platnumz.

0 comments:

Post a Comment