Pages

Subscribe:

Tuesday, March 14, 2017

HARMORAPA AZIDI KUTIKISA, SASA AONGOZA MTV BASE


Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabisho” imekuwa moto kwelikweli. Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu  za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
 
Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano, Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika kutokana na maombi ya...
watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha moto.

Ikiwa hiyo haitoshi kituo cha burudani MTV Base East kupitia mtandao Wa Twitter umemtaja msanii huyo Video yake ya “Kiboko ya Mabishoo” kuwa ndiyo video inayoshika namba moja kwa kuchezwa na kuombwa mara nyingi.

0 comments:

Post a Comment