Pages

Subscribe:

Friday, March 10, 2017

HIZI NDIYO COMMENT ZA MABINTI KWENDA SAMATTA


255 champion Starboy Mbwana Samatta ameingia kwenye trends baada ya kutupia kambani goli mbili siku ya Jana katika Europa ligi.

Staryboy ukiacha kuingia kwake kwenye trends za news kibao  nakuletea comments kadhaa zilizotrend juu ya Samatta kutoka kwa mashabiki wa kike.
Cwry_happie yeye hoi kwa Samatta may be anavutiwa na...
ufungaji wa Magoli yake.

Maasai anasema jana Samatta amempa raha sana japo alikuwa hatizami mpira alikuwa anamtizama tu Samatta.

Hawa wengine walidondosha comment za kumpongeza 255 Champion namna hii inapendeza kumtia Moyo azidi kufanya vizuri.

Huyu Mwanamama kutoka Jamaica Upendo wake kwa Samatta hauna kipimo anaomba appointment na Samatta japo amsainie tu Jezi yake kwa ajili ya Insipiration kwa kijana wake na samatta ndiye shujaa wake.

0 comments:

Post a Comment