Pages

Subscribe:

Friday, March 10, 2017

RECHO AFUNGUKA SABABU YA KIWA KIMYA KWENYE MUZIKI


Unajua ni sababu zipi zilimfanya Mwanadada Recho kupotea kwenye game la music Bongo?

Akichonga ngenga katika kipindi cha Leo Tena muda huu Msanii huyo amesema kuwa sababu zilizomfanya kukaa nje ya Game kwa muda mrefu ni kutokana na yeye kutokuwa na...
mood ya kufanya muziki.

Anasema kuna mambo yalitokea kwenye maisha yake ndiyo yamemfanya kukosa Furaha ya kuimba siku zote. Wimbo wa mwisho kwa Recho ulikuwa Reply miaka kama 3 nyuma sasa hajarudi studio kufanya kazi yoyote. Mwenyewe anasema siku atakapokuwa na furaha atarudi tena studio kurekodi.

0 comments:

Post a Comment