Pages

Subscribe:

Thursday, March 9, 2017

NICKI MINAJ AZIDI KUTEKA AKILI ZA WATU HUKO PARIS


Nicki Minaj bado anazidi kuteka mind za watu ambao bado masikio yao yote wamekaa kusubiria maumivu ya Nicki kwenda kwa Remy Ma.

Baada ya kumake headline na fashion yake ambayo ziwa la kushoto kuwa nje, this time nicki minaj amemake headline tena huko Paris katika Fashion show, sasa moja ya moment ambayo watu waliinasa ni pale Nicki Minaj wakati anapita kwenye Red Carpet akiwa...
amevalia kisketi kifupi pamoja na sidiria nyeusi, Bad newz ni kwamba chuchu ya Nicki iikuwa nje na wala Nicki Minaj hakuonyesha kuwa na hofu wala kujali situation hiyo.

Mtandao wa Daily Mail nao umeripoti kwamba Nicki Minaj katika fashion show hiyo alionekana kuwa confortable na chuchu yake ikiwa nje tena bila kujali ameonekana na wasanii kibao kama  Pharrell Williams, Gigi Hadid, Emily Ratajkowski na wengine kibao.

Oops a daisy! Nicki Minaj suffered a nip-slip when her ample chest made a bid to escape out of her skimpy snakeskin bralet at V magazine's Paris Fashion Week dinner on Tuesday night

0 comments:

Post a Comment