Pages

Subscribe:

Thursday, March 9, 2017

WATU HAWAWEZI KUISHI BILA KUMTAJA NUHU MZIWANDA


Bad girl Bongo mwenye tittle kubwa nchini Shishibaby amesema kwamba alifanya Tour  na Nuh Mziwanda kama msanii mwenzake katika na si vinginevyo ila kama watu wanavyokuwa wakimtaja Nuh Mziwanda wanatoka pamoja.

Awali Shishi na Nuh walikuwa wapenzi ambao waliweka historia kubwa katika Story za mahusiano Bongo zilizobeba headlines za Entertainment news Bongo ila baadaye walimwagana baada ya Nuh kulalamika...
anaonewa zaidi kuliko kupata utamu wa Penzi.

Akipiga Story katika kipindi cha Leo Tena Shishi amesema anawashanga watanzania kuongea vibaya ukaribu wake na Nuh sababu walikwisha achana  kitambo na Nuh ameoa.

“Tunachotakiwa kufahamu MUZIKI ni biashara niliangalia nani anaweza kufit in nikamchukua Nuh tukapige kazi” alimaliza Msanii huyu ambaye leo ametambulisha goma jipya linaitwa Hatutoi Kiki.

0 comments:

Post a Comment