Pages

Subscribe:

Tuesday, March 7, 2017

USHER AJUTIA JAMBO HILI KUTOKA KWA CHIS BROWN



Usher Raymond amesema moja ya vitu anavyojutia ni kutomshirikisha Chris Brown, enzi akiwa chipukizi. Pamoja na hivyo historia inajieleza kuwa Chris ameshamrikisha Usher kwenye nyimbo zake zaidi ya mbili hadi sasa. 

Akizungumza kwenye mahojiano ya Questlove Supreme, Usher alisema...

So there’s one thing in my career that I definitely regret, one thing. And to this day I battle with it which is why I always show support of this artist whenever he asks…So his manager comes in…They show him to me…I was working on an album at this time, they wanted him to perform on this album…I was like okay cool…Then I went to my team and they was like ‘I don’t think you should work with this artist’…Then he left…Chris Brown.
Chris amemshirikisha Usher kwenye nyimbo kama New Flame, Party, Back To Sleep na zingine huku Usher akimshirikisha mkali huyo kwenye ngoma kama All Falls Down.

0 comments:

Post a Comment