Pages

Subscribe:

Tuesday, March 7, 2017

ROSE NDAUKA APATA SHAVU LA KUTANGAZA KIPINDI CHA PLANET BONGO


Rose Ndauka amepata shavu jipya la kutangaza East Africa Radio, Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka, “Nafurahi kuwa mmoja wa team hii mpya ya #Eastafricaradio. 

Ni planetbongo mpya 2017.”Awali Ndauka alikuwa akitangaza...
Times FM kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment