Pages

Subscribe:

Wednesday, March 22, 2017

WEUSI WACHUKUA DILI LA NAVYKENZO KWENYE MTANDAO WA AIRTEL



Weusi wametangazwa Jumanne kuwa mabalozi wapya wa Airtel Tanzania. Wametangazwa kuwa mabalozi wa huduma mpya ya kampuni hiyo iitwayo HATUPIMI BANDO. Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako limechukua nafasi hiyo kutoka kwa kundi la Navy Kenzo ambao...
walikuwa mabalozi wa huduma nyingine mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment