Pages

Subscribe:

Monday, October 2, 2017

DJ KUTOKA SOUTH AFRICA BLACK COFFEE AJA NA MPYA HII


Dj kutoka South Afrika, @realblackcoffee atangaza ujio wa body spray yake mpya ya Black by BlackCoffee #axe

Taarifa hiyo ametusanua nayo kwenye kurasa zake za mitandaoni, deodorant pia inatajwa kuwa ni limited Edition
#officialsocialbuzz

Dj Maarufu kutoka nchini Afrika Kusini ambaye amejibebea umaarufu mkubwa kwa kubeba tuzo ya BET na uwezo wake wa kuproduce Muziki, Black Coffee atangaza kuja na brand yake ya Body Spray ambayo ameshirikiana na Axe.

Tumeshuhudia msanii wetu kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuja na product kama hiyo, Good Newz ni kwamba Black Coffee ameshirikiana na...
kampuni ya Axe katika kuja na deodorant yake ambayo ni Limited Edition inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment