![SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (21) SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (21)](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjb7HEGrjgQWlPLKsSUWh8ZulOPzF32kPsv9uEEBsZNx25HT2xeEy4Gji3csqO9m-FV-JiIEtIq1IoTy-rvRBfysdQq_tYUpUo_5xnZ_qGz4LsXHNG64RUKWgKFWKYAtfb2IHt9Q61BZPBk/s640/sitasahau-7.jpg)
Tulifika chumbani. Chumba kilihuzunika na hakikuvutia hata kidogo. Vitu havikukaa katika mpangilio. Nguo zilizagaa chini, nazo suruali zilitumbukia katika masufuria makubwa yaliyobaki mchuzi. Mlikuwa na vitanda viwili, kitanda kikubwa na kitanda kidogo.
0 comments:
Post a Comment