Pages

Subscribe:

Wednesday, October 4, 2017

GIGGY MONEY: PAPA NI WIMBO MKALI KULIKO HATA SEDUCE ME YA ALIKIBA




Ahsanteni sana #zanzibar asanten ngalawa spice club nawapenda sana❤️✌️Jiaaaaaaaaaaaaaaaaa cc @kmamy_sabra photo credit @zuchhy

Video Vixen na Msanii Muziki Bongo, Gigy Money amedai kuwa ngoma yake Papa ni nzuri kuzidi ngoma ya Alikiba Seduce Me. Akizungumza na Planet Bongo amesema ngoma yake kwa sasa ina miezi minne na bado inaendelea kufanya vizuri kitu ambacho anaamini ni kutokana ukali wake.

“Papa ni kali kuliko Seduce Me sema Alikiba ni msanii mkubwa na watu walimmiss sana, huwezi kusikiliza Seduce Me zaidi ya mara tano lakini...
Papa unaweza kusikiliza siku nzima” amesema Gigy Money.

Wimbo wa Gigy Money ‘Papa’ hadi sasa una views 381,008 katika mtandao wa YouTube wakati ule wa Alikiba ‘Seduce Me’ uliotoka August 25 una views milioni 6.3.

0 comments:

Post a Comment