Pages

Subscribe:

Wednesday, October 4, 2017

VIDEO VIXEN WA TANZANIA WAPATA SHAVU KUONEKANA KWENYE VIDEO MPYA YA DAVIDO



Fani ya mitindo inazidi kukua nchini Tanzania hasa kwa warembo kutokea katika video za muziki. Kwa mujibu wa mwanamitindo Magge Vampire ameposti picha akiwa na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido katika video yake mpya iliyotengenezwa kisiwani Zanzibar siku chache zilizopita.

Davido atakuwa moja ya mastaa kutoka Nigeria kutumia...
ardhi na warembo wa Bongo katika video yake.

0 comments:

Post a Comment