Pages

Subscribe:

Sunday, October 8, 2017

HII NDIYO HABARI MPYA JUU YA MOVIE YA FAST AND FURIOUS



Image result for Fast and furious 9
Wale wapenzi wa series na Movie watakosa uhondo wa muendelezo wa series ya Fast and Furious baada ya taarifa mpya kutoka juu ya kupelekwa mbele kwa uzinduzi wa series yao ya Fast and Furious.
 
Hapo awali kulikuwa na taarifa ya muendelezo wa Fast and Furious #F9 kutolewa April 19, 2019, Sasa kipya ni kwamba Movie hiyo... imesogezwa mbele zaidi mpaka April 10, 2020 ambapo ndio inatarajiwa kuachiwa rasmi.
 Image result for Fast and furious 9

0 comments:

Post a Comment