skip to main |
skip to sidebar
WHATSAPP WALETA APPLICATION HII NYINGINE MPYA
Mtandao wa Whatsapp umeachia toleo lake jipya la Whatsapp Business
ambalo limekuja na App yake Special, kama unavyoona hapo pichani. App hiyo itakuwa na uwezo wa kuwaonganisha wateja pamoja na mashabiki zako karibu kwa njia ya kibiashara zaidi.
Toleo
hili linaitaji Kwanza uweze kujisajili, kwa kujaza fomu ya Whatsapp,
jina la kampuni, namba ya simu pamoja na nchi, baada ya Hapo, Whatsapp
watakupatia...
link ambayo itakufanya uweze kudownload App hiyo kirahisi
zaidi, bila kufanya hivyo huwezi kuipata wa kuiona playstore wala
kuifungua.
0 comments:
Post a Comment