Pages

Subscribe:

Saturday, October 7, 2017

NYIMBO 100 ZINAZO TIKISA ULIMWENGUNI BODAK YELLOW YAENDELEA KUONGOZA

Image result for billboard hot 1oo
Achilia mbali na tuzo kubwa kama BET au MTV BASE pia kitu kingine ambacho huwa kinaleta ushindani ktk muziki wa marekani na nje ya Marekani ni chat ya nyimbo 100 ambazo huwa zinakuwa zinafanya vizuri duniani kote.

Kuna mastaa wengi wameweza kuachia nyimbo zao lakini hazijawa hit hivyo kushindwa kufanikiwa kuingia ktk nyimbo 100 bora ambazo zimekuwa hit na kushindwa kutamba ktk list ya Billboard hot 100, mwanadada Cardi B na wimbo wake Bodak Yellow ameendeleza...
kuongoza mpaka sasa kwa kushika nafasi ya kwanza. 

Nyimbo nyingine ambazo zinaonekana kufanya vizuri na kuweza kudumu ktk chat hi pamoja na Despacito ambayo mpaka sasa ina wiki 37 na bado inashika nafasi ya tano tazama list ya nyimbo 100 ambazo zinatikisa uimwenguni kwa sasa bofya hapo chini.

Bofya Hapa

0 comments:

Post a Comment