Haikuishia hapo Calisah alipost picha nchingine ziko hapa chini na kuendelea kusistiza kuwa We muulize tu Frank Knows anamajibu yote ya maswali yako, huku ktk picha zote alizo valia vitu vya kike alibrock comment hivyo wadau walishindwa kutoa comments zao. Tazama picha nyingine hapa chini...
Kitale hauishia hapo alipost picha ya pili ambayo Calisah amepozi kwenye kiti na kuvalia viatu vya kike kisha akaandika WANAUME TUNAZIDI KUPUNGUA kisha raia wakaishambulia hiyo post kwa maoni mbali mbali
0 comments:
Post a Comment