Zari ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa bila mtoto wake mdogo Nillan kitendo ambacho kimeonyesha huwenda mrembo huyo hajafika kwa ajili ya mpenzi wake na...
ni kwa muda mchache.
“Nimekuja Tanzania kama balozi wa Danube. Kwahiyo nashukuru kwa upendo wetu, na tuendelee kutumia bidhaa za Danube,” alisema Zari.
Zari amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Mlimani City siku ya kesho kwa ajili ya uzinduzi wa duka hilo. Wawili hao waliingia kwenye mgogoro mzito wa mapenzi baada ya mpenzi wake kuchepuka na mwanamitindo, Hamisa Mobetto na kuzaa naye mtoto mmoja.
Lakini cha kujiuliza ni kwamba Zari anasema amekuja kwaajiri ya danube ila ukiangalia video yake baada ya kutua bongo aliyo ipost ina nembo ya WCB na hata ktk mapokezi alipokelewa na alikuwa akilindwa na mlinzi wa diamond..!!!
Je ni nini kinaendeea acha comment yako.





Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment