Pages

Subscribe:

Saturday, October 14, 2017

STORY: NILILALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI 24

Riwaya| Sitasahau Nilipolala na Mwanamke Juu ya Kaburi (24)
Wakati naendelea kushangaa, alinipiga na yale manyoya ya bundi utosini. Nikapoteza fahamu.
Niligutuka nikiwa katikati ya msitu mnene. Ilikuwa asubuhi. Kabla sijafanya lolote, nikasikia sauti kali, “Upo katika nchi ya Matumbawe!” niliitambua sauti ile. Ilikuwa sauti ya Mzee. Sauti iliyojaa kitetemeshi!
Matumbawe yaliyosemwa sikuyaona. Niliona msitu mnene hata nikahofia kama nitapata njia ya kupita. Nilijizoa taratibu nikasimama. Nikawaza nielekee...
wapi, nikaamua kuelekea mashariki.

Endelea Hapa 

0 comments:

Post a Comment