Pages

Subscribe:

Monday, October 2, 2017

SASA UNAWEZA KUMPIGIA KURA MTANZANIA UNAYE MPENDA TUZO ZA AFRIMA HAPA



Tuweke mbali ushabiki sasa ni wakati wa kuinua sanaa ya nchi yetu unaweza kumpigia kura Nandy na Jaydee tuzo za Afrima hapa. 

Jinsi ya kupiga kura shuka hapa chini palipo andikwa vote kisha nenda kwenye picha ya Nandy, Jaydee, Vanessa Mdee au Feza chini ya picha yake kuna neno vote bofya hapo utakuwa umefanikisha kupiga kura.

VOTE 

0 comments:

Post a Comment