Pages

Subscribe:

Monday, October 2, 2017

TAZAMA: WIMBO HALLELUJAH WA DIAMOND UKITAMBULISHWA RADIO YA MAREKANI


Thank you @dizzimonline

AT alisema hakuna wimbo wowote wa mtanzania unaopigwa radio za marekani na kudai kuwa wasanii wa bongo wanatuongopea ila wimbo huu wa Diamond umemuumbua kwa kuonekana ukipigwa moja kati ya Radio zilizopo nchini humo.

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz Halellujah umeendelea kujiwekea historia baada ya kuwa wimbo wa kwanza Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milion moja ndani ya saa 15 sasa waendelea kufanya vizuri pia sehemu mbali mbali ikiwemo kutambulishwa...
ktk radio maarufu huko Miami nchini marekani. 

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment