Unatamani kumuona Bird Man ambaye pia ni bosi wa lebo ya Cash Money? Basi atakuwa mgeni wetu kuanzia mwakani. Kupitia mtandao wa Instagram, Bird amethibitisha kuwa ifikapo mwezi February atafanya ziara katika bara la Afrika na atatembelea nchi tano moja wapo ikiwemo ni Tanzani.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Bird Man ameandika: Shout to Nigeria, Kenya, Tanzania, Gambia and Ghana for showing love. I’ll be...
touring over there February 2018. #RICHGANG #livinlegend #STUNNAMAN #STUNNAISLAND🌴 #lifestyle



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment