Wakati wasanii wanaendelea kuumiza vichwa kutafuta soko la muziki namna gani wataweza kunufaika kwa mauzo ya wimbo mmoja mmoja badala ya album nzima hatimaye Aslay aingia ktk platform ya iTunes ambayo ipo chini ya kampuni ya Apple.
Aslay ameshea picha ktk ukurasa wake wa instagram ikionesha wimbo wa Natamba unavyo patikana ktk iTunes huku gharama ya wimbo huo ikiwa ni Dola 1.29 ambayo ni sawa na Tshs... 2896.56 Taratibu mafanikio ya wasanii wa kitanzania yanaanza kuonekana na Bongo Fleva inaanza kulipa ktk mauzo ya wimbo mmoja mmoja badala ya albamu.
0 comments:
Post a Comment