Pages

Subscribe:

Saturday, March 11, 2017

BARNABA AFUNGUKA YA MOYONI JUU YA VANESSA MDEE




Vanessa Mdee ni mtu wa watu. Kila kukicha wasanii wameonekana kumpa pole mrembo huyo anayeshikiliwa na jeshi la polisi tangu mapema wiki hii akituhumiwa kutumia na kusambaza dawa za kulevya.

Baada ya Nay wa Mitego kumpa maneno ya kumtia moyo Vanessa, Barnaba amefuata njia hiyo kupitia mtandao wake wa Instagram kwa kuandika ujumbe wenye hisia nzito ndani yake. Kupitia mtandao huo, Barnaba ameandika...

Tabasamu lako ndo letu mungu Atakuongoza My sister wa ushindi kabisa nakuombea na mungu yuko katika hatua zako $ @vanessamdee

0 comments:

Post a Comment