Pages

Subscribe:

Saturday, March 11, 2017

BILLNASS: KUPOST MAGARI YA PESA NDOGO MTANDAONI NI USHAMBA


Ule ugomvi wa wasanii kununua magari na kutambishiana umemalizwa leo, Akifanya Interview ndani ya kipindi cha cha Xxl Crayz Friday Msanii Billnass amesema kuwa alipotoa wimbo wake wa Mazoea alipata matatizo mojawapo ni kuibiwa vipuli vya Gari lake.

Alipoulizwa na BDozen vipi sasa kuhusu hiyo ndinga umepata vifaa vingine au umenunua mpya? Nigga kutoka LFLG alimjibu Dozen kuwa ni ushamba wakati mwingine kupost magari ya pesa ndogo ambayo kila...
mtu anaweza ku-afford.

Mimi hili si Gari langu la kwanza kununua nilishatoka ushamba kwahiyo siwezi kupost magari wakati kuna watu wenye magari mazuri na wapo kimya.
Billnass kwasasa anasumbua town kwa ngoma yake ya Mazoea aliyomshirikisha Mwana Fa.

0 comments:

Post a Comment