Pages

Subscribe:

Thursday, March 2, 2017

AUNT EZEKIEL HAKUMBUKI IDADI YA MIMBA ALIYO ITOA


Msanii Auntie Ezekiel amekiri wazi Amewahi kutoa mimba lakini hakumbuki ni idadi ya mimba ngapi alizozitoa! msanii huyu aliyewahi kushiriki mashindano ya Urembo kabla ya kuingia Bongo movie ameyasema hayo wakati akipiga story ndani Tv station ya East Africa Television Aunty   alisema  kuwa...
“Nimeshawahi kutoa mimba, lakini sikumbuki mpaka sasa nimetoa mimba ngapi” mwisho wa kunukuu kutoka kwa @auntyezekielly #KIKAANGONI

0 comments:

Post a Comment