Pages

Subscribe:

Thursday, March 2, 2017

AUNT EZEKIEL: HARMO RAPA HANA KIPAJI CHA MUZIKI



Muigizaji wa filamu nchini Aunty Ezekiel amedai kuwa hamkubali Harmo Rappa kwa kuwa hana kipaji cha muziki. Wakati akijibu maswali ya mashabiki Jumatano hii kupitia mtandao wa Facebook wa EATV katika kipindi cha Kikaangoni, Aunty alisema rapper huyo anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza lakini hana kipaji muziki.

“Simkubali Harmo Rappa maana hana kipaji cha muziki anatumia nguvu nyingi sana,” amesema Aunty. Hata hivyo Harmo amemchana Mose Iyobo ambaye ni...
mzazi mwenzake na Aunty katika wimbo wake mpya ‘Kiboko ya Mabishoo’ ambao amemshirikisha Juma Nature.

0 comments:

Post a Comment