Pages

Subscribe:

Sunday, March 5, 2017

PENZI LA JUX NA VANESSA LAWA MOYO SUKUMA DAMU


Lugha huwa na utofauti pale inaposemwa kulingana na eneo husika kijografia maana ya matamshi huweza kutofautiana kwa baadhi ya maneno ijapokuwa yatamkwa sawa.

Ukijifunza kiitaliano unaweza kuchanganyikiwa Kama wewe ni mjuvi wa lugha adhimu ya kiswahili sababu kwao wao neno Juu maana yake ni Chini. Na maana ya neno Chini ni Juu. May be Vanessa na Jux...
walitumia neno Juu kwenye collabo yao katika lugha ya kispaniola.
 
Mida flani hivi Vanessa Mdee amepost kupitia mtandao wa Twitter kwamba anaungana na Lameck Ditto kazi ya Moyo ni kusukuma Damu tu.
Haijaeleweka kama ndiyo mwisho wa penzi lake kwa Jux au ni meseji tu ya kuukubali wimbo wa Ditto!

0 comments:

Post a Comment