Pages

Subscribe:

Sunday, March 5, 2017

HERI MUSIC: DIVA ANANIDEKEZA KWAKE NIMEFIKA


Idadi kubwa ya wasanii wa kiume Bongo Fleva wanaotoka kimapenzi na mastaa wa kike waliowazidi umri inazidi kuongezeka. Mwanzoni alianzaga Timbulo na Jack Pentezel goma likasogea kwa Nuh Mziwanda na Shilole then kama haitoshi shilole akazungusha Duara kwa machalii kadhaa hivi.
 
Baadaye kama tukaona labda kwa shishi wacha utamu kunoga huyu hapa dada yetu mwenye sauti tamu hivi kimapenzi kutoka mjengoni unaambiwa amemkamata Dogo...
anayekuja kwa kasi kwenye hii Industry Heri Muziki.

Akipiga story kwenye BongoFleva HeriMuziki anasema kwamba kwa Diva ni kila kitu anamdekeza na amefika kimapenzi kwamba haoni kama umri ni kigezo kwenye mapenzi sababu wanapendana sana.

Heri Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva anayesumbua kwenye Anga la bongo na track yake ya Cheche  ameachia ngoma inayoitwa Sweet Love enjoy!!

0 comments:

Post a Comment