Pages

Subscribe:

Sunday, March 5, 2017

JOKATE AMHUSISHA MAKONDA NA JINA LA BASHITE


“Namzungumzia @zittokabwe kama mtu Smart , ukitaja jina @paulmakonda inanijia picha ya “Mbabe wa Vita ” ( au unataka niseme Bashite ). Ukitaja @officialalikiba inanijia picha ya Muimbaji mzuri. Ukitaja @diamondplatnumz namuona...
mchapakazi. 

kuhusu Dr John Pombe Magufuli namuelezea kama #TingaTinga ( mtu wa kazi ) ….” – majibu ya mwanamitindo Jokate Mwagelo katika kipindi cha Clouds 360 on Saturday alipoulizwa kuusiana na personality na yeye anazichukulia vipi kwenye maongezi yake amenukuliwa akimuhusisha Mh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na jina la Bashite.

0 comments:

Post a Comment