Pages

Subscribe:

Sunday, March 5, 2017

NAY WA MITEGO: MIMI NDIYO MTANZANIA WA KWANZA KUFANYA KOLABO NA RUNTOWN



Rapper Nay wa Mitego amedai kuwa mwaka huu amepanga kuachia kolabo yake aliyofanya na Runtown wa Nigeria. Hitmaker huyo wa Muda Wetu, amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa yeye ndio msanii wa kwanza kutoka Bongo kufanya kolabo na msanii huyo.

“Mwaka huu nitaachia kolabo yangu na Runtown. Unajua mimi ndio msanii wa kwanza Tanzania kufanya naye kolabo na ina...
mwaka karibia mmoja na nusu ipo ndani tu ni production ya Uhuru,” amesema Nay.

Rapper huyo ameongeza kuwa mwaka huu amepanga kuachia nyimbo kibao muda wowote ambapo mashabiki wake watakapohitaji.

0 comments:

Post a Comment