Pages

Subscribe:

Wednesday, August 31, 2016

SALLAM: KIDOGO IKIFIKISHA VIEWS MIL. 5 TUNAACHIA MZIGO MWINGINE


Diamond
Video ya wimbo wa Diamond aliowashirikisha P-Square ikifikisha views milioni 5, ingine itatoka, kwa mujibu wa meneja, Sallam Sharaff. Tayari video hiyo imefikisha views milioni 4. Kupitia Instagram, Sallam ameandika...

BELLE 9: ALBUM YA VITAMIN MUSIC ITAVUNJA REKODI YA MICHAEL JACKSON

Belle99
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 amesema albamu yake mpya ‘Vitamin Music’ itavunja rekodi mbalimbali za dunia. Muimbaji huyo amedai albamu hiyo itavunja rekodi zilizoachwa na manguli wa muziki duniani, Michael Jackson na Bob Marley.

“Albam yangu ya Vitamin Music itakuwa ni albam ya tofauti, itakuwa na vitu vingi fantastic, itakuwa na jumbe tofauti tofauti, kutakuwa na mada tofauti tofauti za mapenzi, maisha, hustling na pia ‘angle’ nyingi ambazo...

YCEE: KIDOGO YA DIAMOND INAPIGWA KILA BAADA YA DK 20

Msanii wa Nigeria, Oludemilade Martin Alejo aka YCEE amezitaja nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva ambazo kwa sasa zinachezwa zaidi nchini kwao.

YCEE anayetamba na wimbo wake wa ‘Omo Alhaji’ mekiambia kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio kuwa wimbo wa Kidogo wa Diamond aliowashirikisha P-Square umekuwa ukichezwa zaidi kwenye vituo vya radio na runinga za nchini humo inawezekana ikawa ni...

JAH PRAYZAH ASHEREHEKEA KUFIKISHA VIEWS MILLION 1 YOUTUBE

Video ya wimbo wa Jah Prayzah  ‘Watora mari’ aliomshirikisha Diamond imefikisha viwers Million 1 ndani ya wiki tatu tangu ilipotoka tarehe 14 mwezi August. Msanii huyo maarufu wa zimbabwe amesherekea mafanikio ya collabo hiyo na staa wa Tanzania, Diamond kwa kukata keki na marafiki wake wa karibu. 

Hii ni video ya kwanza ya staa huyo kufikisha viewers Million 1 ndani ya muda mchache zaidi. Wimbo huo ulipotoka mashabiki wa Zimbabwe waliomba...

BELLE 9 ATAJA COLLABLE MPYA ZA DIAMOND MOJA KAFANYA NA FRENCH MONTANA

Diamond amejipanga vilivyo na ujio wa album yake mpya ambayo amepania kuiingiza kwenye soko la kimataifa, Na tayari ana collabo na mastaa wa Marekani. Belle 9 amemwaga mchele kuwa staa huyo wa ‘Kidogo’ ana collabo mpya mbili zimekamilika ikiwemo ya Wizkid na nyingine...

TCRA: MIAKA 20 JELA KWA ATAKAYE POST PICHA ZA UTUPU (UCHI) MTANDAONI

Kwa mara nyingine tena, mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA imewakumbusha watanzania kutozichezea sharubu za sheria ya makosa ya mtandaoni, lasivyo wataishia pabaya.

“Ni vyema wananchi wakatambua kwamba uchochezi kwenye mitandao kwa kusambaza ujumbe wenye viashiria vya uvunjifu wa amani au kuweka picha zisizofaa kwenye mitandao sheria ipo wazi na watu watajikuta wanaishia pabaya, hivyo...

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MASHINDANO YA BIG BOOTY

Serikali ya Burkina Faso imepiga marufu shindano ya kila mwaka kwa wanawake wenye makalio makubwa kwa maelezo kuwa shindano hilo halina maadili na linaleta ubaguzi katika jamii.

Tangazo la shindano hilo maarufu kama “Miss Bim-Bim” lililoonyesha wanawake wawili wenye makalio makubwa sana, lilizua...

Download: Iyanya ft Victoria Kimani_Yoga


Download

AFANDE SELE ASHIKILIWA NA POLISI

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA ambayo yamepigwa marufuku.
Afande

Rapper huyo ambaye ni mwanasiasa na aligombea ubunge kupitia cha ACT Wazalendo katika uchaguzi uliyopita, amedai yupo...

FAIZA ALLY: NAPENDA KUVAA NUSU UCHI

Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini: "Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut. Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma hakunaga star mnene duniani hlf pia...

Monday, August 29, 2016

WCB KUFUNGUA OFISI MPYA KIJITONYAMA

13320130_708031909299557_1854325244_n
Label ya WCB Wasafi ya Diamond Platnumz inafungua ofisi mpya Kijitonyama jijini Dar es salaam ambayo itakuwa inajihusisha na masuala ya kiuongozi zaidi. Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam, amesema wanafungua ofisi mpya ili...

Download: Man Fongo_Kibaka


Download

Download: Sam Misago ft Quick Rocka_Vyura na Madanga


Download

Watch & Download: King Kaka_Mr. 254 [Official Video]


Watch Here

Watch & Download: Dogo Janja_Kidebe [Official Video]


Watch Here

Watch & Download: Mo Music_Ado Ado [Official Video]


Watch Here

Watch & Download: Ben Swax ft Kala Jeremiah_Kesha [Official Video]


Watch Here

Download: Walter Chilambo_Smile


Download

CHUCHU HANS: NIKIWA NA RAY NAHISI KAMA DUNIA YOTE YANGU

post-feature-image
Miss Tanga mwaka 2005, Chuchu Hans amesema kuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi na staa wa filamu, Ray Kigosi anajiona kama dunia yote ni yake.
Muigizaji huyo amesema anajisikia furaha sana jinsi anavyoishi kwa kusikilizana na mpenzi wake huyo.

“Nikiwa na Ray wangu, huwa nahisi kama dunia yote ni yangu, Ray ananidekeza sana,”Chuchu alimwambia mwandishi.“Ana mapenzi ya kweli, ananipenda mimi na watoto...

PENZI LA RIHANHANNA LAMZUZUA DRAKE AJIKUTA AKIWEKA BANGO NJIANI

Drake anazidi kuonyesha mapenzi kwa Rnb staa Rihanna, This time jamaa kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi kwa RIRI kwenye tuzo za MTV Video Music Awards. Bango limeandikwa...

DULLY SYKES: WAZARAMO NDIYO WENYE MUZIKI WA SINGELI

Msanii Dully Sykes amesema kabila la Wazaramo ambao wana asili ya jiji la DSM, ndiyo wenye muziki wa singeli ambao umeshika kasi kubwa kwa sasa, na watu wengi kusema huo ndiyo muziki halisi wa Tanzania.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema muziki wa singeli unatokana na muziki wa mchiriku ambao ulikuwepo hapo zamani, ambao ulikuwa ukipigwa na...

BARAKAH DA PRINCE X ALIKIBA NISAMEHE KUANZA KUONYESHWA MTV BASE

Wimbo wa Barakah Da Prince na Alikiba ‘Nisamehe’ utaachiwa wiki hii. Video na wimbo vyote vitatoka pamoja, kwa mujibu wa Barakah. “Video itatoka kwenye exclusive MTV Base kabla ya kituo chochote,” Barakah alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ. Hivi karibuni Alikiba pia alishoot video yake mwenyewe na ile...

SHAMSA FORD KUFUNGA NDOA IJUMAA WIKI HII

Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’. Shamsa na Chidi Mapenzi Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam.

“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford. Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa...

DIAMOND AWEKA REKODI YA PEKEE MERU NCHINI KENYA

Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake. Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki wenye kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye...

Monday, August 22, 2016

TAZAMA PICHA ZA WIZKID AKIWA NA MASTAA MBALI MBALI WA BONGO


13649337_2095409367351308_1190666608_n
Tazama nyingine hapa...

MAUA SAMA ATAMANI KUZAA MAPACHA


41e79110d365c09dd1690baf467c10e9
Msanii wa muziki Maua Sama amesema kuwa kama atapata mwanaume sahihi wa kuzaa naye basi angependa kuzaa watoto mapacha. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Mahaba Niue’ amedai kuwa angependa familia yake iwe na watoto wawili au watatu.

“Nikipata mume, nataka nizae watoto wawili au watatu siyo mbaya, kwa sababu anapenda sana nipate wakiume na kike, nikipata pacha...

DIAMOND AENDELEA KUMPA ZARI SIFA KEDEKEDE

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya: 
 
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya...

LADY JAYDEE ANONEKANA KWENYE JARIDA LA TRUE LOVE


jideee
Muimbaji nguli wa muziki Tanzania, Lady Jaydee amekava jarida maarufu la wanawake, mahusiano, maisha na mitindo, True Love la Kenya. Jarida hilo hupatikana Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda.

Kwenye jarida hilo la mwezi huu, Jaydee amefunguka kuhusu sababu za kuachana na mume wake, Gardiner G Habash, kutamani kwake kufanya kazi na Usher na kwanini hawezi kujichubua.

RUBY AIKACHA SHOW YA FIESTA KISA MASLAHI

Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa.

Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika
Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my future. Katika shindano la...

Saturday, August 20, 2016

DIAMOND: NIMESHWA WAHI KUWAUZIA NGUO ALIKIBA NA BOB JUNIOR


Msanii Diamond Platnumz anasema kabla hajatoka kimuziki alikuwa anafanya biashara ya kuuza mitumba na biashara hiyo ndiyo iliweza kumkutanisha na 'Producer' Bob Junior ambaye aliyetengeneza kazi zake za kwanza ambazo zilimtambulisha kwa watanzania.

Diamond Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa yeye alikuwa anapenda sana kumuonyesha onyesha nguo Bob Junior na wenzake ili aweze...

KASSIM: UKIMYA WA TIP-TOP UNANIUMIZA


Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hilo unamuumiza na kumgusa sababu yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top Connection licha ya kutofautiana kibiashara. 

Kassim Mganga akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo alisema yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top Connection hivyo alikuwa anapenda...

FID Q KUACHIA ALBUM YAKE MWISHONI MWA MWAKA HUU


13774606_1667293583597820_215343024_n
Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka. Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia inaweza kutoka November au...

CAMERA ZAMNASA ISABELA AKILA BATA NA EX WA AUNT EZEKIEL

page

Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Luteni Karama, Isabela Mpanda. Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake wapo...

Watch & Download: Jose Chameleone_Nkwaata [Official Video]

cham
Watch Here

EATV WATANGAZA VIPENGELE 10 VYA TUZO ZA EATVAWARDS 2016

Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Mkuu wa masoko wa kituo EATV, Roy Mbowe alisema tuzo hizo zitakuwa na vipengele 10 zitakazohusisha muziki, filamu na tuzo moja ya heshima.

Vipengele hivyo ni...

WEMA AWAPA SIFA ZARI NA TIFFA WA DIAMOND

Mambo mengi yametokea wiki hii kuanzia Wema Sepetu kuachana na mpenzi wake Idris Sultan hadi Miss Tanzania huyo wa mwaka 2016 kuhudhuria birthday party ya binamu wa Diamond, Romeo na kukutana na vijana wa WCB.

Kutokana na Wema kujumuika na vijana wa himaya ya WCB, kumezuka tetesi kuwa huenda ukaribu kati ya muigizaji huyo na Diamond unaweza ukawa ni zaidi ya maex wawili walioamua...

Friday, August 19, 2016

MBWANA SAMATTA AZIDI KUNG'ARA MICHUANO YA KUFUZU EUROPA


Mtanzania Mbwana Samatta ameendelea kung’a barani Ulaya kwa kupachika mabao baada ya jana kuifungia bao timu yake ya Genk, na kiwezesha kupata sare ugenini dhidi ya NK Lokomotiva ya Croatia.
 
Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Stadion Maksimir nchini Croatia ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2 ambapo Genk ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata mabao yao kupitia kwa Leon Bailey dakika ya 35 na Mbwana Samatta dakika ya...

DNA: MR. NICE NI MKALI WA WAKALI AFRIKA MASHARIKI


'Rapa' DNA kutoka nchini Kenya amefunguka kile ambacho watu wengi wanakitilia mashaka, kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Lucas Mkenda, au Mr. Nice na uwezo wake kwa sasa kwenye game.

Akizungumza kwenye The Cruise, DNA amesema Mr. Nice ni msanii mkali kwa Afrika Mashariki, kwani amefanya...

JUX: MUONEKANO WANGU UNANISAIDIA KWENYE MUZIKI


Msanii Jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Wivu' amefunguka na kusema muonekano wake pamoja na mavazi yake yamemsaidia kumuweka mahali fulani katika kazi yake ya muziki.

Juma Jux alisema na kudai kuwa alitambua kuwa muonekano unaweza kumsaidia katika muziki ndiyo maana kabla ya kutoka kwenye muziki alianza...

Download: Diva f/ Mr Blue, Roma, Chemical, Bill Nas, Baghdad_Baby Boy [remix]

Bongofive - Baby Boy Refix Cover Art

Download

TAZAMA VIDEO SNOOP DOGG AMPA SHAVU NAY WA MITEGO


snoop-dogg-4ddc3edb2d557
Baadhi ya wana hip hop wanadai kuwa Nay wa Mitego hafanyi hip hop halisi, lakini rapper huyo controversial amepata shavu ambalo hakuna msanii wa hip hop Bongo amewahi kulipata – kupewa shavu na rapper mkongwe, Snoop Dogg. 

Asante kwa video ya kuchekesha inayomuonesha babu akicheza na mwanamke mwenye makalio ya haja iliyochanganywa na sauti ya wimbo wa mpya wa Nay wa Mitego, Good Time, sauti yake imesikika kwa...

WIMBO WA DIAMOND WAZIDI KUPANDA CHATI KWENYE PLAY LIST YA 1XTRA


14052731_611870808981058_626144385_n
Diamond Platnumz anachekelea tu sasa hivi kwasababu wimbo wake Kidogo aliowashirikisha mapacha wa P-Square umepanda daraja zaidi kwenye playlist za redio yenye heshima kubwa Uingereza, BBC Radio 1Xtra, Na ili kujua ukubwa wa hiki kilichotokea ni vyema ukafahamu kuwa ni nyimbo chache sana za Afrika zilizowahi kuingia kwenye playlist ya kituo hicho maarufu kwa burudani UK. 

Tuliripoti siku chache zilizopita kuwa wimbo wake huo umeingia rasmi kwenye playlist zake lakini ukawa umewekwa kwenye orodha C. Na sasa wimbo huo umepanda hadi...

HAMISA MABETTO AZIDI KUTIKISA KWA PICHA ZAKE MPYA MTANDAONI

Bila ubishi Hamisa Mobetto kwasasa yupo kwenye orodha A ya wanamitindo Tanzania, na kwenye picha zake mpya ameonesha kuwa ni mrembo haswaa. Tazama picha zake hapa chini...

KANYE WEST KUFUNGUA MADUKA 21 YA NGUO WEEKEND HII

Rapper na Mjasiriamali, Kanye West amepanga kufungua maduka mapya 21 siku ya kesho, ikiwemo Afrika. Kufuatia mafanikio ya maduka yake ya nguo zake ‘The Life of Pablo Popup shops’ yaliyopo Los Angeles, New York na Paris Kanye west ameamua...

EDDY KENZO AAMUA KUANIKA MALI ZAKE HADHARANI


13736830_1323453414346687_89128804_n
Wasanii wa Uganda wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show za ndani zisizokauka. Eddy Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si tu kuwa na mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya BET, bali pia kujikusanyia utajiri mkubwa.

Kupitia Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha mashabiki wakiwa mdomo wazi. Tzama picha hapa...

CRISTIAN RONALDO AJIPONGEZA KWA KUNUNUA GARI HII BAADA YA MICHUANO YA EURO

RONALDO
Mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Ureno, ambaye pia ni Mchezaji wa Klabu ya Real Madrid na Nahodha wa timu yake ya Taifa , Cristiano Ronaldo (31) ameamua kuwaonyesha mashabiki wake wa mpira zawadi aliyoamua kujizawadia baada ya kusadia Timu yake ya Taifa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Ulaya mnamo mwezi July mwaka huu.

Ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi ya Hispania (La Liga), Cristiano Ronaldo amepost katika ukurasa wake wa Instagram gari mpya yake mpaya aina ya...

Thursday, August 18, 2016

Download: Ommy Dimpoz_Hawapendagi

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/08/13696376_158734774556706_1456333086_n-300x194.jpg

Download

WIMBO MPYA WA ALIKIBA JINA BADO LIMEBAKI KUWA KITENDAWILI


14072794_1431431290206247_1036188947_n
Baada ya kuonjesha kile ambacho tutakiona kwenye video ya ngoma yake mpya, Alikiba anaweza akawa ametupa jina la wimbo huo. Alikiba akiwa na warembo watakaoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya

Mkali huyo wa Aje, ameanza kutumia neno #Kajiandae kwenye post zake mpya, huku kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa likawa ndio jina la ngoma hiyo.
Hata hivyo bado haijulikani iwapo Kiba alienda Afrika Kusini kushoot video mbili au moja kwasababu...

YOUNG KILLER: NAFUNGUA DIRISHA LA USAJIRI KWA YEYOTE ANAYETAKA KUNIANDIKIA WIMBO


Young Killer
Young Killer amefungua milango kwa mwandishi yeyote anayeweza na mwenye nia ya kumwandikia wimbo utakaokuwa kwenye level zake. Pia amekaribisha producer yeyote mchanga mwenye uwezo wa kutengeneza midundo mikali.

Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio muda muafaka kwakuwa hakuwahi kuandikiwa nyimbo hapo kabla na mashabiki tayari wameshaufahamu...

NI KINYUME NA SHERIA KUMWANGALIA MWANAMKE KWA SEKUNDE 14

Anaika-Soti
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi ya sekunde 14 katika jimbo la Kerala nchini India. 

Hakuna sheria kama hiyo nchini India lakini afisa huyo Rishiraj Singh ambaye ni kamishna amesema kuwa kumuangalia mwanamke...