Pages

Subscribe:

Sunday, August 30, 2015

Q-CHIEF: MWANANGU ALIFUKUZWA SHULE KISA ALIMPIGA MWENZAKE BAADA YA...

10956351_663821843741171_1618248528_n
Q Chief amedai kuwa aliumia mno pale mtoto wake alipofukuzwa shule baada ya kupigana na mwanafunzi mwenzake aliyemtania kuwa baba yake ni teja! Q-Chief alikuwa akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni. Na kusema kuwa...

LULU AWAACHA WATU NJIA PANDA BAADA YA KUPOST PICHA HII

Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba. Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wake Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake. Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki...

HII NDIYO SEHEMU INAYOFANYA OMMY DIMPOZ AWEZE KUTIMIZA NDOTO ZAKE


Kila mtu ana mahali panapo mfanya aishi na leo ktk pita pita zangu nimekutana na post ya Ommy Dimpoz akiwa studio na kisha ameweka caption inayo sema.. The place where my dreams come true "STUDIO".. Kwa mashabiki zake tegemeeni kitu kipya kutoka kwake.

Download: Curren$y ft. August Alsina & Lil' Wayne_Bottom Of The Bottle


Download

PICHA: WAREMBO WA BONGO MOVIE NDANI YA GWANDA LA CHADEMA

Download: August Alsina ft Lil wayne_Why I Do It


Download

Friday, August 28, 2015

Download: Eviantony_Baby


Download

ROSE NDAUKA: NIPO TAYARI KUOLEWA NA YEYOTE

Rose Ndauka: Nipo Tayari Kuolewa na Yeyote!
ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari kuolewa na kuishi kama mama na mwanaume yeyote. Akizungumza hivi karibuni, Rose alisema japo mume bora anatoka kwa Mungu na kwamba anangojea aliye chaguo lake, lakini amechoshwa na...

WOLPER AZIDI KUSISTIZA YEYE NI JACK LOWASSA

Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusizitisha kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku...

POLISI WAINGILIA KATI BIFU LA MAIMARTHA NA WEMA SEPETU


Kimenuka Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mtifuano kati ya mtangazaji maarufu wa televisheni, Maimartha Jesse na staa wa filamu, Wema Sepetu baada ya bifu la wawili hao kufika jeshi la polisi.
Akipiga stori na Mwandishi, Maimartha alisema Wema alikuwa na nia ya kumdhalilisha kwani baada ya kumtafuta na polisi na kumkosa, waliamua kumpigia simu na kumuita kituoni Kijitonyama (Mabatini) ambako alisomewa mashtaka ya kumtukana Wema katika...

Thursday, August 27, 2015

Download: Mr Blue ft Dunga_Baki Na Mimi


Download

Download: Brai_Deka


Download

NUHU AENDELEA KUMKANA WEMA SEPETU AFUNGUKA MENGINE HAYA

Msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda amemkana tena staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu kuwa hajawahi kumtongoza na sauti iliyorekodiwa kwenye simu akimtongoza mwigizaji huyo siyo yake. Akizungumza kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM,alipokuwa akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hadithi’ alisema kuwa Wema hakuwa na...

Wednesday, August 26, 2015

PROF JAY: NIKIWA MBUNGE MSINITEGEMEE SANA KUONGELEA MATATIZO YA WASANII


Wasanii wasitegemee msaada wa maana pindi Professor Jay akiingia bungeni. Rapper huyo anayewania ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro amesema atatumia wadhifa huo kuwahudumia wananchi wa Mikumi.
Professor amesema kuwa atakuwa mbunge wa watu wa Mikumi hivyo atatumia muda kuwatumikia watu wake.

“Nimewaambia wasanii wangu na wanajua nimechaguliwa kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye jimbo la Mikumi, lakini wengi wamesema...

BABA MZAZI WA DIAMOND AKATALIWA KUMUONA MTOTO WA DIAMOND

BABA D
Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kupata mtoto wa kike, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, baba mzazi wa mwanamuziki huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amekataliwa kumuona mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa baba Diamond, baada ya...

Download: Dynamyt_Shake It

Shake It by DYNAMYT Artwork

Download

NBC WAZIFUNGIA NYIMBO 20 NCHINI NIGERIA NICKI MINAJ NA ACE HOOD WAHUSIKA

NBC-Ban-List
Balaza za sanaa nchini Nigeria NBC (National Broadcasting Commission) limetangaza kuzifungia baadhi ya nyimbo za nchini humo na hata za nje ya nchi hiyo kutokana na nyimbo hizo kutokuwa na maadili yasiyo faa wanadai baadhi ya nyimbo hizo zinachochea...

Download: Harmonize_Aiyola


Download

Download: Snaida_Ukawa


Download

Download: D. Manyuti_Magufuli


Download

Download: Dullayo_Umbea


Download

Download: Wiz Khalifa ft French Montana, Trey Songz & Ty Dolla Sign_Go Hard Or Go Home (Pt.2)


Download

Download: Teyana Taylor_Your Wish


Download

NORA: JAMANI NAOLEWA MIE, NIKIACHIKA TENA...

MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi.

Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na...

DIAMOND: WALIO HAMA CCM WOTE NI KABILA MOJA

Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram. Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe).

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(Lowasa,Sumaye). Sina shaka alichoandika hakijatoka...

Tuesday, August 25, 2015

MIRROR: SIPENDI KUONA NUHU AKIMTONGOZA BOSI WANGU

Msanii wa Endless Fame Films, Mirror amesema alimrekodi Nuh Mziwanda wakati akimtongoza bosi wake Wema Sepetu sababu hakupendezwa na kitendo hicho alichokiona kama ni utovu wa nidhamu. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Mirror alisema hawezi kufurahi kumuona ‘dogo’ tu akimtongoza bosi wake.

Mimi sina matatizo na Nuh cha kwanza na sikurekodi kwa nia ya watu wasikilize,” alisema. “Kwa sababu hata tukiongea ukweli Nuh na madam ni...

Monday, August 24, 2015

Download: Chid Benz Freestyle


Download

BASATA WASISTIZA KUWA ADHABU YA SHILOLE IPO PALE PALE

Adhabu ya Shilole Ipo Palepale –Basata
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuwa adhabu ya kufungiwa kutojihusishwa na sanaa kwa mwaka mmoja ndani na nje ya nchi msanii Shilole ipo palepale, kauli ya hiyo imekuja baada ya msanii huyo kusema kuwa atakwenda kufanya shoo nchini Marekani pamoja na msanii mwenzake Ommy Dimpozi licha ya kufungiwa kwa mwaka mmoja.

Akiongea na East Afrika Radio Shilole alisema amejiandaa vizuri sana katika shoo ambayo anapaswa kuifanya nchini Marekani siku za karibuni, na alipoulizwa atawezaje kufanya shoo hiyo wakati akiwa amefungiwa na BASATA, Shilole alionekana kupaniki na...

HII NDIYO KAULI YA DIAMOND KUHUSU LOWASSA

Diamond ameandika hivi: Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawakuliona hili??? Kwakuwa...

LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA MAULID

Staa mdogo kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonekana kumrushia vijembe hasimu wake mkubwa mlimbwende Husna Maulid kwa kile alichodai kuwa anamuibia maelezo yake ya picha (caption) kwenye mtandao wake wa Instagram. Staa huyo ambaye hakumtaja Husna moja kwa moja, alisema kwa sababu amekuwa akiweka maelezo ya picha katika mtandao na mtu kuyaiba kama yalivyo na kuweka katika picha zake, ameamua...

Download: R Dady ft Sungura_Natamani


Download

PICS: HAWA NDIYO MASTAA WA BONGO WALIYO HUDHURIA VIWANJA VYA JANGWANI

Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform ni Peter MsechuYamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.  See more pics inside...

Sunday, August 23, 2015

STORY: PETE YA JINI SABRAH.. EPISODE-3


PETE YA JINI SABRAH - 3 
Mtunzi : Mwinyimvua 
0789 569355 

Taratibu akaingia chumbani kwangu mama sophia huku akionekana kama mtu mwenye hofu kubwa moyoni. " vipi tena shemeji mbona usiku kuna nini?? " Nilimuuliza mama sophia huku nikivaa shati langu " Shemeji mume wangu kazidiwa gafla anaumwa hali yake mbaya naomba msaada wako " Mama sophia alisema.

Huku akibubujikwa machozi Nilitoka upesi chumbani kwangu na mama sophia kuelekea chumbani kwa mama sophia haraka sikuamini nilichokikuta nilimkuta...

MAJIMAMA YAMWAGA RADHI MBELE YA WATOTO

JIMAMA (6)
Ama kweli dunia imekwisha! Hayo yalidhihirishwa Jumamosi iliyopita baada ya kundi la mijimama kuwamwagia radhi watoto walio chini ya umri wa miaka saba ambao walikuwa wakitolewa jandoni katika kigodoro kilichofanyika Kigogo Luhanga jijini Dar. See more pics...

Saturday, August 22, 2015

WEMA ADAIWA KUVUNJA NDOA YA MDOGO WA DIAMOND PLATNUMZ

Hali si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu akihusishwa na kuvunjika kwa ndoa ya mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ almaarufu kwa jina la Esma Platnumz aliyeolewa na...

DIAMOND PLATNUMZ NA NEYO WAINGIA STUDIO KURECORD

Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufanya Coke Studio na Kiba ila Diamond hapo hapo akachukua fursa bila kupoteza muda na kumburuza NE-YO studio kutoa...

KANISA LAGOMA KUMBATIZA MTOTO WA AUNT EZEKIEL

Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa. Tukio hilo limetokea hivi karibuni mara baada ya mwigizaji huyo ambaye imani yake ni ya Kiislamu, kutaka kumbatiza mwanaye huyo ambaye baba yake ( Moze Iyobo) ni Mkatoliki.

“Alikuwa amejipanga kumbatiza Kikristo kutokana na imani ya baba mtoto wake lakini alipokutana na padri Paul Ruwaaich wa Parokia ya Uparo Moshi aliyekuwa Dar kikazi akamtaka...

GABO: SIJAONA MSANII WA KUSHINDANA NA MIMI

Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato. Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi...

Friday, August 21, 2015

Download: Sauti Sol_Shake Yo Bam Bam .mp3


Download

Video: Sauti Sol_ShakeYo Bam Bam [Official Video]


Watch Here

Download: Ben Pol & Thabby Lee_Moja Moja


Download

LULU AMCHOKOZA ZARI THE BOSS LADY

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.


Tukio hilo lilijiri usiku mnene Jumapili iliyopita kwenye Ukumbi wa House Club uliopo Masaki, Dar ambapo kulikuwa na...

SHILOLE: NIKIIBA MUME WA MTU NISILAUMIWE

Mwanamuziki wa miondoko ya mduara ambaye kwa hivi sasa anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na  Baraza la Sanaa Basata  ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa mpaka mwaka mmoja, kitu ambacho kimemuumiza sana na kudai kuwa akiiba mume wa mtu atakuwa anakosea pia!
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema kuwa adhabu aliyopewa ni kubwa mno kiasi ambacho  anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo...

Thursday, August 20, 2015

ZARI: SURA YA TIFFAH ITAONEKASA BAADA YA...

Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah Naseeb a.k.a Princess Tiffah. Hii ni kutokana na maneno mengi ambayo yanaendelea hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, wengi wanahamu ya kujua mtoto anafanana na nani kati ya baba na mama yake.

Picha zote za Tiffah zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha mikono, miguu, mdomo lakini amekuwa...

JOKATE HABANDUKI KWA ALIKIBA... AMFUATA MPAKA KENYA

11910136_147181532285484_807925537_n
Jokate Mwegelo hatoki begani mwa mahabuba wake, Alikiba. Wawili hao wapo jijini Nairobi, ambapo Kiba yupo kurekodi kipindi cha Coke Studio na Jokate ameamua kuungana naye kumsaidia kumpunguzia baridi la jiji hilo ambalo kipindi hiki linadaiwa kuwa katika kilele chake...

HUDDAH MONROE AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Huddah MonroeMREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita. Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram. “Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa...

Wednesday, August 19, 2015

STORY: PETE YA JINI SABRAH EPISODE-2


PETE YA JINI SABRAH - 2
Mtunzi : Mwinyimvua
0789 569355

Niliota nipo beach na marafiki zangu tukipunga upepo gafla akatokea binti mmoja pale tulipokaa sisi binti yule alikuwa anaongea na rafiki yangu alex ingawa macho yake yote alikuwa akiniangalia mimi cha kushangaza binti yule macho yake yalikuwa yaki meta meta kama yakiwaka taa hivi kiukweli nilishtushwa na hali ile mara nikawa ona yule binti na rafiki yangu alex wakielekea kwenye maji kuogelea.

Haikupita muda mfupi gafla alex alisikika akipiga mayoye ya kuomba msaada kwamba aokolewa anakufa sikuweza kuwa amini nilimuona rafiki yangu alex akimezwa na...

Download: Christian Bella_Amerudi


Download