Pages

Subscribe:

Friday, July 31, 2015

HATIMAYE SHILOLE AFUNGIWA NA BASATA KWA MUDA HUU HAPA

Shilole Afunguka Baada ya Kufungiwa na BASATA
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi:

“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya...

Download: D Twise X Ali Kiba_School Baby


Download

Download: Erica Lulakwa's_Dundika


Download

Download: Mashowllah_Sigera


Download

WEMA SEPETU: SIASA BILA KUJIPANGA HUTOKI.. UTAKATWA TU

Leo tunaye msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni alithubutu kugombea ubunge kupitia viti maalum mkoani Singida. Kwa bahati mbaya kura za msanii huyu hazikutosha. Mwandishi wetu alionana na mwanadada huyo nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar na...

FAIZA ALLY AHAMUA KUDAI HAKI YA MTOTO UPYA

FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki yake juu ya malezi ya mtoto wake.
Mrembo huyo mwenye vituko kwenye suala la uvaaji ‘alitinga’ mahakamani hapo sanjari na mwanasheria wake, ndugu na baadhi ya watu wa karibu kwa lengo la kupinga...

NORA AWAJIBU WANAO DAI KUWA KWA SASA AMEZEEKA



Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi...

Download: Ne-Yo_GoodNight


Download

Download: Drake_Back To Back (Meek Mill Diss)


Download

NE-YO AELEZA KWANINI ALIKUWA NA HAMU YA KUONANA NA DIAMOND

Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo ameitaja sababu iliyomfanya atake sana kukutana na Diamond Platnumz. “Baada ya watu kusikia kuwa nilikuwa nakuja kwenye MAMAs jina pekee ambalo walikuwa wakilitaja kwangu ni Diamond Platnumz,” Ne-Yo alimwambia Vanessa Mdee kwenye interview ya MTV Base.
“Nikasema ni lazima nikutane na huyu jamaa, nahitaji kumuona,” aliongeza.
Siku moja kabla ya tuzo hizo pia...

LULU AJIPA SIFA KEDE KEDE ADAI YEYE NI KIWANGO CHA JUU

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katika maswala mazima za kujipodoa ni ya kiwango cha juu. Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu. “Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na...

Thursday, July 30, 2015

Download: Young Killer ft Maua Sama_Do For Me


Download

Download: Hemedy Phd_Imebaki Story


Download

Download: Young Killer ft Ben Pol_Do It


Download

Download: Adam ShuleKongwe, Kanja, Andrex & One Six_Kata Nyau


Download

DIAMOND KUMRUDISHA HAWA KWENYE MUZIKI


Haya sasa hawa ndo vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa kusema upo teari kufanya nae kazi wale walokuwa wanasema...

Wednesday, July 29, 2015

MRISHO MPOTO AWASILI RUVUMA KUTOA MISAADA

Msanii Mrisho mpoto leo ametembelea Baadhi ya shule zilizopo Mkoani Ruvuma katika Wilaya ya Namtumbo kiijiji alipozaliwa Hii ni kwa msukumo na msaada kutoka PSPF katika jicho lingine la kuitazama Elimu ikiwa kama chanzo na mwanzo mzuri kwa kizazi kijacho Misaada hiyo iliyotolewa na...

Download: Poison ft Nay Wa Mitego_Manzese Na Moro Town


Download

Tuesday, July 28, 2015

SHAMSA FORD AKANUSHA KUHONGWA SIMU NA MABWANA

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu. Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na hajawahi...

WEMA ALIZWA NA MANENO YA DIAMOND

Wema SepetuMusa Mateja Inasikitisha! Mrembo Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akiangua kilio baada ya kupewa maneno ya kejeli na aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufuatia kupigwa chini kwenye kura za kuwania Ubunge wa Viti Maalum mkoani Singida kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). wema sepetu Mrembo kunako Bongo movie aliyekuwa akiwania ubunge wa viti maalum Ikungi Singida, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Chanzo makini kinadai kwamba...

MASHABIKI WAIKOSOA PICHA ALIYO PIGA DIAMOND NA ZARI

Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa. Kundi kubwa linawalaumu wasanii hawa kwa kupiga picha kama hii huku likidai ni...

Sunday, July 26, 2015

MALAIKA AANGUKA NCHINI UINGEREZA!! WATU WAMIMINIKA KUMSHANGAA

Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Uingereza. MALAIKA aanguka nchini UINGEREZA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza kumiminika kwenda kumshuhudia. See more Pics inside...

DIAMOND AMPIGA DONGO WEMA BAADA YA KUKOSA UBUNGE

Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite. Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM. Diamond ameandika hivi...

Video: DIAMOND AKIZUNGUMZA BAADA YA KUTWAA TUZO YA AfricanAchieversAwards 2015


Watch Here

DIAMOND AZIDI KUONESHA UBORA WAKE BAADA YA KUTWAA TUZO NYINGINE KUBWA SIKU YA JANA


Ni wiki moja tu imepita baada ya Msanii Diamond Platnumz kushinda tuzo ya Mtv na kufanya awe msanii wa kwanza nchini Tanzania kutwaa tuzo hiyo, lakini bado anaendelea kufanya vizuri nje ya Tanzania hii imeonekana siku ya jana baada ya kutwaa tuzo nyingine ya #‎AfricanAchieversAwards2015 ambapo Diamond ameweza kutwaa ktk kitengo cha Msanii bora wa Africa. Baada ya kushinda tuzo hii amepost picha hiyo hapo juu ktk ukurasa wake wa Facebook na kuandika...

BATULI: RUSHWA YA NGONO ILINIONDOA KAOLE SANAA GROUP

Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono, Batuli alifunguka hayo alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV. 

Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili...

Saturday, July 25, 2015

WEMA AFUNGUKA BAADA YA KUKOSA UBUNGE ASEMA HAYA


Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo. Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye...

Download: P The MC ft Young Killer & Dully Sykes_Run DSM


Download

Download: Bob Manecky ft Jux & Ruby_Sisikii


Download

Download: Rossie Em ft Joh Makini_Do It


Download

Download: Ruby Band_Mkanye Mwanao


Download

Download: Kush MC & Izzo Bizness ft Otuck_Tunaswitch Material


Download

KAULI YA LULU BAADA YA WEMA KUKOSA UBUNGE WA VITI MAALUM


Baada  ya  matokeo  ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu  Michael  amemtia  moyo  Wema  Sepetu  kwa  Kuandika  ujumbe  huu;
Kuna matokeo ya aina 3 >>Kushinda, >>Kushindwa na >>Kudroo.
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho...

WEMA APIGWA CHINI KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM


Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo. Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi; 1. Aysharose Mattembe (311) 2. Martha Mlata(235) 3. Diana Chilolo(182) 4. Wema Sepetu(90)

Friday, July 24, 2015

Download: G-Nako ft Nikki Wa II_Laini


Download

Download: Dully Sykes_Nani


Download

Download: Bella Fasta ft Baby Madaha X Dully Sykes_Mimi


Download

LINAH: WATU WAMEPANIKI BAADA YA KUONA MJENGO WANGU

Linah Sanga amejikomboa kwa kukaribia kukamilisha mjengo wake japo anadai watu wengi wamekuwa wakijaribu kumkatisha tamaa. Linah alifanya ukaguzi kwenye nyumba yake inayoendelea kujengwa. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa haikuwa rahisi kujenga nyumba hiyo kutokana na...

AMINI AKANUSHA KUSHUKA KIMUZIKI BAADA YA KUOA

Msanii na mtunzi wa nyimbo za Bongo Flava, Amini amesema haamini kuwa msanii akioa hushuka kimuziki. Amini ameiambia Clouds FM kuwa anashukuru kumpata mke ambaye wanaendana katika kazi zake.
“Unajua kila mtu ana mtazamo wake, wengi wanasema hivyo kuwa msanii ukioa unashuka. Hapana kwangu nakataa na mimi sijaoa useme labda...

SHILOLE NA NUHU ILIKUWA KIKI YA KUTANGAZA WIMBO WAO MPYA

Shilole na Nuh Mziwanda wameachiaSingle yao inayojulikana kama ‘Ganda la Ndizi’ kabla ya kutoa wimbo huo walionekana kama kutofautiana kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram huku kila mmoja akiweka ujumbe wa kumkashifu mwenzake. Hekaheka ya leo imefanya mahojiano na wawili hao na kuamua kuzungumzia utata wao ambao ulizua gumzo kwenye mtandao wa Instagram. Shilole amesema...

MR BLUE: SIWEZI KUELEZA JINSI GANI NAMPENDA MKE WANGU

Diamond Platnumz hana maneno ya kuwaeleza walimwengu ili wajue ni kwa kiasi gani anampenda mchumba wake, Zari the Bosslady. Lakini inaonesha kuwa siku za hivi karibuni wanawake wamekuwa na mchango mkubwa zaidi katika ustawi wa maisha ya wapenzi wao. Mr Blue pia hana maneno ya kueleza ili watu waelewe anavyompenda mke wake Wahyda.

Blue amepost picha Instagram akiwa na mke wake huyo na kuandika,” Morning ig…

KAJALA AFUNGUKA HAYA KUHUSU KUJIKITA KWENYE SIASA

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi kugombea. Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake...

DIAMOND ATOA SABABU ZA KUMZUNGUSHA D'BANJI KUFANYA NAYE COLLABO

Muimbaji mkubwa wa Nigeria, D’Banj amemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo. Kokomaster amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.
Star huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA 2015, ameongeza kuwa kabla mwaka huu...

SUGU: MIMI SI MBUNGE WA WASANII NI MBUNGE WA MBEYA HILO NI JIBU ALILOMPA AFANDE SELE

Rapper Afande Sele amesema wasanii hawajanufaika na ubunge wa Joseph Mbilinyi aka Sugu licha ya kumsaidia kumpigia kampeni katika uchaguzi uliopita. Akizungumza na Planet Bongo ya East Afrika Radio, Afande alisema Sugu ameshindwa kuwatumikia wasanii na kujinufaisha yeye mwenyewe.

“Sisi tuliamini akienda kule ndio mdomo wetu, kasahau kabisa wasanii wenzake,” alisema. “Kipindi ambacho wasanii wa antivirus wanalalamika kwamba kawatosa porini, akasema yeye sio...

Thursday, July 23, 2015

D'bANJ: DIAMOND NI JUSTINE BIEBER WA AFRICA NAMTAFUTA MUDA MREFU

Mkali wa “Knocking on my door” D’Banj amefunguka kuwa anamtafuta Diamond kwa muda mrefu afanye nae Collabo lakini Diamond amekua akimzungusha, Dbanj amemfananisha Diamond na Justin Bieber au Lil wayne kutokana na Mashabiki alionao. D’banj amefunguka hayo alipokua...

Download: Shilole & Nuhu Mziwanda_Ganda La Ndizi


Download

Download: Navy Kenzo ft Vanessa Mdee_Game


Download

HII NDIYO SABABU ILIYO PELEKEA MASTER J KUACHANA NA MKE WAKE

Master J ameamua kuweka wazi sababu za kuachana na mke wake aliyezaa naye watoto watatu wa kike. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii, producer huyo mkongwe alidai kuwa pamoja na ndoa yao kufa, mke wake ni mwanamke wa pekee.

“Wewe unaweza kuwa mtu mzuri na yeye anaweza kuwa mtu mzuri lakini when it comes to the matters of the heart ikawa inashindikana,” alisema. “Lakini sio kwamba...

Download: Ali Kiba_School Baby (Demo)


Download