Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

DIAMOND AKUTANA NA MWANAMUZIKI NE-YO NA HIKI NDICHO KITAKACHO FUATA

Haya sasa! Ne-yo na Diamond washakutana huko... Na kama tunavyomjua Diamond ni mzee wa Fursa... tutegemee kitu kikubwa kuanzia sasa.. Natamani kila Mwanamuziki hapa Tz awe inspired na mafanikio ya Diamond tupate hata wasanii 20 watakaowakilisha Tz ili tuje tuidominate Africa kimuziki maana inawezekana, kama vile 2face na Psquare walivyotengeneza... njia ya Muziki wa Nigeria kuiteka Africa basi hata Sisi tutafika huko na hii ni kama tu tutasupport wanamuziki wanaofanya Vizuri nyumbani.

0 comments:

Post a Comment