Pages

Subscribe:

Saturday, January 31, 2015

New Video: Davido ft Uhuru & Dj Buckz_The Sound (Official Video)


Watch Here

IYANYA ATOA DISS KWA JAGUAR NA KUMWITA MVIVU

Mbali na wawili hao kufanya collabo ya pamoja kwenye ngoma ya Jaguar mwenyewe iitwayo "One centimeter rmx" akiwa amemshirikisha Iyanya kutoak Nigeria waliingia kwenye utata baada tu ya kutoa ngoma yao hiyo. Utata huo ulianza baaada ya kusambaa kwa video hiyo ambapo Jaguar alitaka ifike kimataifa lakini hakuonesha juhudi zozote za kui-push video hiyo.Iyanya alisema kwamba...

MAZISHI YA BABA MZAZI WA P-SQUARE KUFANYIKA LEO

Wasanii waakubwa ambao ni mapachaPeter na Paul maarufu kama P-square kutoka Nigeria wanataraji kumzika baba yao mzazi Pa Mosses Okoye leo aliefariki november mwaka jana. Mazishi hayo ambayo yatafanyika ki mila pia yameweza ku-make headlines kutokana na kucheleweshwa kuzikwa...

BIFU LA DIAMOND, DAVIDO NA WIZ KID LIMEISHA

Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Africa na kimataifa kwa ujumla hatimae bifu lao limeisha. Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya Diamond platnumz na Wiz kid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya ya Davido aliyo mshirikisha Uhuru na Dj bucks. Diamond nae ali-post katika account yake kwa kuaonesha...

Download: Matonya_Homa Ya Jiji


Download

Friday, January 30, 2015

AFANDE SELE MUZIKI NDIYO BAASI TENA

Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya. Afande Sele amesema kuwa...

HII NDIYO SABABU YA JUX KUTO POST PICHA ZA CHUO ANACHO SOMA NCHINI CHINA

Mastaa wengi wamekuwa wakiutumia mtandao wa Instagram kupost picha ambazo zinaonesha maisha yao na karibia kila wanachofanya, lakini kwa msanii wa R&B Juma Jux kuna mstari ambao ameuweka kati ya vitu anavyoshare kwenye mtandao huo na maisha yake binafsi.

Inafahamika kuwa Jux anasoma nchini China, lakini hajawahi kupost picha yoyote ikionesha yuko kwenye mazingira ya chuo kama ambavyo labda...

MIMBA YA AUNTY EZEKIEL YAWA FARAJA KUBWA KWA IYOBO

Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa filamu, Aunty  Ezekiel.
Akizungumzia ujauzito wa mpenzi wake,  Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema...

BANGI ZILIFANYA NAY AFUKUZWE NA MAMA YAKE MZAZI

Mwanamuziki anaetamba na hits single ya Akadumba Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya utafutaji na kuhangaika na sanaa kuna watu wengi waliamini kuwa anapoteza muda.
Nay amesema watu hao pia wanadai kuwa bangi ndizo zinampoteza na kufanya muziki ambao waliamini kuwa...

Thursday, January 29, 2015

Download: Jos Mtambo ft Nako 2 Nako_Sijawahi Kufeki


Download

NUHU MZIWANDA: SHILOLE NIMEKUPA RUKSA, NIPIGE MPAKA NIKOME!!

Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda  ameibuka na kuandika bandiko hili mtandaoni.
“Mwanaume lijali aliekamilika...

NDOA YA JACQUELINE WOLPER NA MANAIKI YABUMA


Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa...

HII NDIYO SABABU ILIYO FANYA WEMA SEPETU KUKAMATWA NA POLISI


KATIKA hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali. Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na...

Download: Nay Wa Mitego_Only One


Download

SHILOLE AOMBA RADHI BAADA YA KUMPIGA MPENZI WAKE

Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:
“Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi...

MREMBO KUTOKA KENYA ALISAKA PENZI LA DIAMOND KWA UDI NA UVUMBA

Anaitwa Tiara Mrembo Kutoka Kenya Ambae Ameshindwa Kujizuia na Kuonyesha Penzi Lake wazi wazi kwa Diamond Kwa Kumtumia Video Mbali mbali akiwa Nusu utupu... Jana, Tiara ameupload video ya picha za utata akiwa kwenye Jacuzzi na kuziandikia ujumbe maalum kwa staa huyo. “And this is my story, and forget about Wema and Zari focus on this,” ameandika...

Wednesday, January 28, 2015

LULU NDIYE MSANII WA KIKE TZ ANAYE ONGOZA KWA KULIPWA PESA NYINGI

Msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama Lulu katika utafiti uliofanyika tangu mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu,imegundulika kwamba Lulu ndie mwigizaji pekee wa kike anaelipwa hela nyingi kuliko waigizaji wa kike wengine hapa bongo. Jana tarehe 27/01/2015 katika interview aliyofanya Clouds Tv katika kipindi cha Take One kinacho endeshwa na Zamaradi,Lulu aliweza kutaja dau lake endapo mtu atataka kufanya nae kazi. Kwa kawaida wasanii wengine wa kike katika filamu wakitakiwa kucheza kama main characters kiwango chao cha kulipwa ni kuanzia laki nane mpaka...

24 Jan 2015 VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ LIVE PERFOMANCE ON TIGO KIBOKO YAO CONCERT


Watch Here

CLUB OLYMPIA JIJINI DAR YAWAKA MOTO

CLUB Olympia iliyoko Sinza-Mori jijini Dar es Salaam, imeungua na kuteketea kwa moto majira ya saa kumi na nusu usiku wa kuamkia leo ambapo chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mapema. Mlinzi wa club hiyo inayomilikiwa na Samuel Mwaisumbe, na ambaye hakuweza kujitambulisha jina lake, alisema...

Tuesday, January 27, 2015

AMBER ROSE KUMFUATA D'BANJ NCHINI NIGERIA

Mwana dada Amber Rose ambae kila kukicha anazidi ku make headlines kwenye vyombo vya habari imetoke habari mpya tena ambayo inamuhusu yeye na koko master a.k.a D'banj wa nchini Nigeria. Katika social media na blogs za Nigeria zime post habari inayo muhusu mwana dada huyo ambae anataraji kuingia Lagos nchini Nigeria maalum kwaajili ya msanii koko master a.k.a D'banj.Ni nini kinacho mpeleka huko endelea kusoma hapa...

AUNTY EZEKIEL: MIMBA HAIJANIBADILI TABIA KAMA WENGINE

Huku kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na wala...

RAISI MPYA WA ZAMBIA AVALISHWA NA MWANA MITINDO KUTOKA TANZANIA

Mbunifu wa mavazi mbali mbali wa hapa Tanzania,Sheria Ngowi amepata nafasi ya kujitangaza zaidi katika soko la mavazi nje ya nchi mara baada ya kula shavu la kumbunia Nguo aina ya suti Raisi mpya wa Zambia. Raisi Edger Lungu ambae ndie raisi mpya wa sasa wa Zambia,suti hiyo aliivaa wakati wa...

Download: Nonini ft Didge_Tudunde

Download

New Video: Doctor Fazi_Sadaka (Official Video)



Watch Here

Monday, January 26, 2015

Sunday, January 25, 2015

PICS: DIAMOND AFANYA YAKE KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO


See more photos inside here...

DIAMOND AMWAGA PESA KWA MASHABIKI

Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama...

Saturday, January 24, 2015

Download: Meja Sharo_Siondoki


Download

JUX AELEZA UKWELI JUU YA UHUSIANO WAKE NA VANESSA MDEE

NI fununu tu! Mwanamuziki wa kizazi kipya, Juma Jux, ameweka bayana kile kinachoendelea kati yake na Vanessa Mdee ‘V Money’ kuwa ni mambo ya kikazi na si uhusiano wa kimapenzi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV Online, Jux aliyasema hayo kutokana na tetesi zilizokuwa zikiandikwa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba amejiweka kwa mwanadada huyo anayetamba na...

MAISHA YA MASOGANGE NI AIBU TUPU HUKO AFRIKA KUSINI

Miezi michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo. Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimedai kuwa, Masogange yupoyupo tu, kazi kujipiga picha za utupu na...

TIKO AWAJIA JUU WANAUME WANAO DAI KUWA YEYE NI GOGO KITANDANI

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo. Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya...

MBALI NA MUZIKI BASI HII NDIYO SHUGHULI ANYINGINE ANAYO IFANYA MSANII SARMY CLEVER


Asilimia kubwa ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva bado wanaishi majumbani kwao na wazazi wao na pia wengi wao hawajishughulishi na shughuli zingine zozote zaidi ya muziki na hili ndiyo limekuwa tatizo kubwa kwa wasanii wetu kuwa na maisha duni na kuto kukua kiuchumi na kujikita ktk uuzaji wa madawa, Ni wasanii wacheche ambao wanafanya muziki na huku wanaendesha miradi yao na wengine wameajiriwa ktk vitengo na makampuni tofauti. Hii imekuwa tofauti kidogo kwa msanii huyu hit-maker wa ngoma ya Tausi, Yeye ni...

STEPS HOW TO DOWNLOAD SONGS ON THIS SITE

Step 1: After search the song then Click Read More


Step 2: You can find the world Download is at the Bottom of Photo click on it...

MSANII KUTOKA NIGERIA D'BANJ APOROMOKA KIUCHUMI

Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Koko master a.k.a D'banj,inasadikiwa kuwa ameporomoka kiuchumi kutokana na kuto fanya vizuri katika biashara zake hususan muziki ambapo ni tofauti na zamani alivyo kuwa akifanya vizuri. Kutokana na ripoti iliyo tolewa na A list katika gazeti la Encomium, inasemekana kwamba jamaa D'banj ameporomoka kila kitu si kiuchumi tu bali hata kimuziki kwani amekua...

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI AJIFUNGUA NDANI YA DALADALA

Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar, anasoma Kesho sec alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo yaani alivyovaa...

Download: Mrisho Mpoto_Njoo Uchukue



Download

NAY WA MITEGO NA WOLPER WAIBUKA NA MAPEZI MAPYA

Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao walianzisha...

KOPE ZA BANDIA ZAMFANYA MBAYA WEMA SEPETU

Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia...

New Video: Yamoto Band_Nitakupwelepweta (Official Video)


Download

Friday, January 23, 2015

Download: Y Tony ft Barnaba-Mama


Download

New: Chris Brown ft Kendrick Ramar_Autum Leaves (Explicit Video)


Watch Here

Download: Yamoto Band_Tembo


Download

OMMY DIMPOZ ATADA NA KIUNO CHA DEMU WA DIAMOND

Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo. Ommy alifanya hivyo kupitia...

HATIMAYE WEMA AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA KUMSHTAKI DIAMOND

 
Kwenye interview aliyo ifanya baada ya kuzagaa kwa taarifa hizo za kufungua mashtaka kwaajili ya kumstaki mpenzi wake wa zamani,wema hapa anafunguka
Kwenye Exclusive Interview, Wema Sepetu amesema haya:...

KARRUECHE KUONEKANA KWENYE VIDEO MPYA YA CHRIS BROWN

Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misuko suko katika mahusiano yao Chris amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen. . Video inaitwa Autumn Leaves akiwa...