Pages

Subscribe:

Wednesday, January 21, 2015

MTOTO WA KAJALA AZIDI KUWA TISHIO KWA MASTAA WA BONGO

Paula Kajala Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hii ya picha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni... mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo nahuhakika atakuwa moto wa kuotea mbali. Madada wabongo movie wajipange haswaaa

0 comments:

Post a Comment