Pages

Subscribe:

Saturday, January 24, 2015

MSANII KUTOKA NIGERIA D'BANJ APOROMOKA KIUCHUMI

Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Koko master a.k.a D'banj,inasadikiwa kuwa ameporomoka kiuchumi kutokana na kuto fanya vizuri katika biashara zake hususan muziki ambapo ni tofauti na zamani alivyo kuwa akifanya vizuri. Kutokana na ripoti iliyo tolewa na A list katika gazeti la Encomium, inasemekana kwamba jamaa D'banj ameporomoka kila kitu si kiuchumi tu bali hata kimuziki kwani amekua... hafanyi vizuri kama zamani. Koko master a.k.a D' banj hivi karibuni amekua na migogoro na baadhi ya wafanyakazi wake kwani mshahara amekua mgumu kutoa tofauti na zamani na wengine kutopewa mishahara yao kabisa,mfano mfanya kazi wake anaeitwa Chu chu tayari amesha ondoka na usimamizi wake kwa sasa.

0 comments:

Post a Comment