Pages

Subscribe:

Thursday, October 29, 2015

Download: Burudani Band_Mke Gani


Download

TUNDA AJICHORA TATTOO ZA WANAUME WOTE ALIOWAHI KUTEMBEA NAO

Licha ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’, video queen Bongo, Tunda Sabasita anadaiwa kujichora tatuu za wanaume kibao mwilini mwake. Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza ni kuwa, ‘muuza nyago’ huyo kwenye video za Bongo Fleva haoni shida ya kujichora tatuu hizo na kwamba ndiyo furaha yake na kumbukumbu pindi anapokuwa...

Download: Mavins (Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D’Prince, Reekado Banks, Korede Bello and Di’Ja.)_Jantamanta


Download

WEMA AJA NA KALI HII... AWAACHA WATU NJIA PANDA

wemaa
Mwanadada Wema Seeptu na mpenzi wake, mshiriki wa shindani la Big brother mwaka 2014 kutokea Namibia, Luis Munana wamewaacha mashabiki wao bila majibu, Kama wawili hao wamefunga ndoa au La. Tazama pics 6 hapa ndani...

WIMBO WA SAUTI SOL FT ALIKIBA KUTOKA HIVI KARIBUNI


Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’
Sauti Sol ambao hadi sasa wamesha achia nyimbo sita zitakazokuwepo kwenye album ya tatu wamepost picha hiyo na kuandika “Kazi ipo King Kiba na Sauti Sol Muziki wa...

DAVIDO AWAGOMBANISHA MASOGANGE NA DIVA


Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejikuta wakiingia katika ugomvi, kisa kikiwa ni msanii wa muziki wa Nigeria, Davido.
Akizungumza, Masogange alimlaumu Diva, kwa kitendo chake cha kuandika katika ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram kuwa alizungumza na Davido ambaye alikana kuwa...

KAJALA ADAIWA KUMHARIBU PAULA

Kuna madai mazito yanayosema kuwa nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja ambaye alizaa na ‘prodyuza’ mkali wa muziki wa kizazi kipya, Paul Matthyssen ‘P Funk’ anamharibu mtoto wao anayefahamika kwa jina la Paula. Chanzo ambacho pia ni rafiki wa karibu wa familia ya bosi huyo wa Bongo Records, kinasema wazazi hao hivi sasa wako katika...

Monday, October 26, 2015

SWIZZ BEATZ APOST PICHA YA DIAMOND NA KUMPA PONGEZI

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi.
Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika.

“Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. “Naomba niwashukuru sana...

Download: One The Incredible Feat Jaco Beatz_AdoAdoMixer


Download

Download: Faysi Boy_Vita

Download

DIAMOND AMPIGA CHINI STAA WA BOLLY WOOD PRIYANKA CHOPRA

 
Hatimae Diamond Platnumz aibuka mshindi wa tuzo ya MTV BestWorldWideAct aliyo kuwa ametajwa kuwania na mwanadada Priyanka Chopra kutoka Hindia na baadhi ya mastaa wa hapa bongo hawajasita kumpa sifa zake akiwemo, Chemical, Vanessa & Izzo B, Haya ndiyo maneno yao...

Sunday, October 25, 2015

Download: Mtu Chee [Stamina, Country Boy, Young Killer ft Jux X Deddy]


Download

Watch & Download: Erick Omondi ft Amos X Josh_Baadaye [Official Video]


Watch Here

Download: District 9_Eh Eeeh


Download

DIAMOND PLATNUMZ NA OMMY DIMPOZ WATAKA KUZICHAPA NCHINI MAREKANI

Nyota wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuzinguana laivu nchini Marekani, Chanzo makini kilichoshuhudia sakata hilo lililotokea hivi karibuni nchini Marekani kulipokuwa na hafla ya utoaji wa tuzo za Afrimma ambapo Diamond alitwaa 3 huku Dimpoz akipata 1, kimenyetisha kuwa, wawili hao walizinguana wakiwa wanataka...

Saturday, October 24, 2015

BARNABA & MR. BLUE WATUNISHIANA MISULI

barnaba $ mr Blue
Baada ya tukio maalumu lililokuwa limewakusanya wadau mbalimbali wa muziki maeneo ya Leaders Club siku ya jumamosi ya tarehe 17,October 2015,Usiku ambapo kulikuwa na show kali ya Msanii wa muziki ambaye anafanya poa East Africa akiwa anatokea nchini Uganda maarufu kwa jina la Jose Chameleone.

Kulikuwa na tukio lingine la kuburudisha kutoka kwa wasanii wa hapa bongo huko Back stage, wasanii hao ambao walionekana kuinogesha back stage ni Barnaba pamoja Mr.Blue. Kilicho fanyika na wasanii hao huko back stage ni...

JOKATE: UMAARUFU UNAPOTEZA WASANII WENGI HAPA BONGO

Mwanamitindo na muimbaji, Jokate mwengeleo aka Kidoti ametaka wasanii kutotumia vibaya umaarufu  wao ili wapate ushirikiano katika kazi zao.
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Jokate amesema

kinachowaponza wasanii wengi ni umaarufu: “Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi kuvimba kichwa ukajiona wewe ndio wewe, unasahau kabla ya wewe kulikuwa kuna...

YOUNG D AELEZA SABABU YA KUACHANA NA LEBO YAKE YA MDB

Young Dee ameelezea kwa uchungu kitu kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani, Millian Dollar Boys (MDB) baada ya bosi wa kampuni hiyo, Max Rioba kudai amezingua.

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Young Dee alisema hakutaka kuzungumzia suala la Max kwakuwa anaheshimu mchango wake katika muziki wake.
Kama uliona nimekukosea, call me, I will apologize sio kwenda...

Download: Selebobo_Wameu


Download

MASOGANGE AFUNGUKA BAADA YA TEKNO KUMKANA

masogange
Video vixen wa Bongo, Agness Masogange ameonesha kupingana na kauli ya msanii wa Nigeria, Tekno Miles ambaye amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano naye.
 
Drama ya Agnes na hit maker wa ‘Duro’ imeibuka baada ya Tekno kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kupitia kipindi cha ‘Ala Za Roho’, ambapo alikanusha kabisa kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na video vixen huyo. Baada ya Tekno kukanusha, Masogange amesema kuwa Tekno anajua sababu zilizomfanya afiche ukweli kwa Diva, akimaanisha kuwa...

Wednesday, October 21, 2015

BARAKAH DA PRINCE KUJENGA MAKTABA KWENYE ALIYO SOMA


Braka da Prince ameeleza mpango wake wa kujanga maktaba ya shule ya msingi aliyowahi kuisomea kama kurudisha shukrani kwa jamii .
Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, muimbaji wa ‘Nivumilie’ amesema kuwa  ameamua kufanya hivyo ili kurudisha fadhila kwa jamii anayotoka baada ya kupata mafanikio kupitia...

NAKUTUNZA YA BARNABA NA CHAMELEONE KUTOKA OCTOBER 30

12070833_1664897037085337_1136653106_n
Barnaba amerekodi wimbo mpya na Msanii nguli wa Uganda Jose chameleone kwenye studio za High table sound ambazo anazimili yeye mwenyewe., Wimbo huo utatoka rasmi tarehe 30 mwezi huu na unaitwa ‘Nakutunza’, Barnaba ameandika maneno haya kwenye mtandao: With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana Leo pale @Hightablesound Kiukweli...

Download: Diaz Man ft Ben Pol_Nikuweke Ndani


Download

Download: Lady Queen_In My Bed


Download

Download: Zide ft Stamina X Beka Tittle_Ngoma Nangwa


Download

Saturday, October 17, 2015

PINKY KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SIKU YA LEO

Leo ni siku ya kihistoria kwa Mwanadada Pinky ambaye pia ni hit maker wa wimbo wa Usiogope alio mshirikisha Young D,Pinky Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa japo hajaweka wazi kuwa anatimiza miaka mingapi.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Pinky amepost picha hiyo hapo juu na kuandika ujumbe huu hapa chini:
❤💞Today is my birthday and I thank God for the gift of new life, new hope, great opportunities and above all gift of another year. Lord, let this...

NUSU NUSU YA JOH MAKINI & LAINI YA G-NAKO ZAZIDI KUNG'ARA






Baada ya ngoma zao kuendelea kuwa Hit na kufanya vizuri kwenye media mbalimbali  G-Nako ameamua kutoa shukurani za dhati kwa wote wanao fanya mziki wao uweze kupiga hatua. G-Nako ametweet kwamba...

KURA YAKO ITAFANYA TUZO HII KUTUA Tz PIGA SASA

Ili kuweza kufanikisha ndoto zetu wa Tanzania na kutambulika duniani kote kinacho hitajika ni juhudi zetu wenyewe. Fanya kupiga kura kwa Diamond Platnumz ili kuweza kuipeperusha bendera ya Tz Duniani kote wajue kuwa hata sisi kimuziki tunaweza. bofya kwenye neno vote Here ili uweze kufanya uchaguzi.

VOTE HERE

OMMY DIMPOZ KUJA NA NGOMA HII BAADA YA UCHAGUZI

ommy2
Baada ya ushindi wa Tuzo za Afrimma 2015, Ommy Dimpoz Ali-tease nyimbo mbili tofauti Instagram akiashiria kuwa anakaribia kupakua ngoma mpya, ktk post hizo Ommy aliandika: Vp? Mpo tayari baada ya uchaguzi tuachie Mabody na nyingine...

Download: M.Pyii Da Silver ft Ney Lee_Lishe Ya Mapenzi


 

Download

NISHA AJA NA KALI HII... AMVISHA HAMISA MABETO

11351964_1208894179126374_1509629093_n
Mwigizaji wa filamu Salma Jabu a.k.a Nisha amesema licha ya kufanya vizuri kwenye tasnia ya filamu sasa anafungua kampuni yake ya mavazi itakayo wavisha mastaa mbali mbali, Nisha amedai kuwa tayari ameshaanza kuwavisha wanamitindo kama...

P-SQUARE NA FALLY IPUPA WATAMANI KUFANYA KAZI NA DANCERS WA DIAMOND

Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake.
Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika.

Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka kufanya kazi na sisi,” amesema. “Wakamfuta Diamond lakini...

Friday, October 16, 2015

VANESSA MDEE: VIDEO YA NEVER EVER IMENIGHARIMU ZAIDI YA MIL.40

Mshindi wa Tuzo ya Afrimma ‘Best Female East Africa’ Vanessa Mdee amesema video yake mpya ‘Never Ever’ imegharimu zaidi ya Million 40. Vee Money amesema hata malengo ya anapotaka kufika bado hajayafikia na anamatumaini ya kufika mbali zaidi.
Hii ndiyo kauli ya Vee : “Video ya wimbo wa Never Ever umenigharimu dolla elfu 20, na malengo bado hata sijafikia ukurasa wa pili wa kitabu ninachoandika na...

MADAWA YA KULEVYA YAFANYA YOUNG D KUPIGWA CHINI NA UONGOZI WAKE

Uongozi wa Kampuni ya Million Dolla Boyz unaomiliki studio za ‘Aunthentic records’ na uliokua unasimamia kazi za Young dee umempiga chini msanii huyo kwa madai ya kutokua na shukrani na tabia mbaya.
Akiongea na kipindi cha XXL cha Clouds FM, CEO wa Kampuni hiyo, Millian amesema amesikitishwa kusikia kuwa Young dee anasema wamemkataza kufanya kazi na...

Watch & Download: Classic Band_Dada Ndombolo [Official Video]


Watch Here

Download: Songa ft Mkoloni X Chindo_Keki Ya Taifa


Download

Download: Jordan X Quick Rocka_Kama Ronaldo


Download

Download: Classic Band (Assa & Chessa)_Dada Ndombolo


Download

Watch & Download: King Kaka ft Rich Mavoko_Lini [Official Video]


 

Watch Here

YOUNG D NA TUNDA KUFUNGA NDOA SOON

Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon. Akiongea na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na kumthamini tofauti na...

CHRISTIAN BELLA AFUNGUKA PESA ALIZO TUNZWA KWENYE FAINALI YA BONGO STAR SEARCH

Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya.
Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni...

BIFU LA LULU NA WEMA SABABU NI DIAMOND PLATNUMZ

 Mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao.

Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kiasi cha kwenda nyumbani kwake, Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa manane na...

Thursday, October 15, 2015

DIAMOND PLATNUMZ TENA...!!! ASHINDA TUZO YA MTV


Diamond Platnumz ndio mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ cha Tuzo za MTV Europe kilichokuwa kinashindaniwa na mastaa wengine wa Afrika ikiwemo  AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria) na DJ Arafat
Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya...