Pages

Subscribe:

Sunday, June 3, 2018

ROMA AMNYOOSHEA KIDOLE PROF JAY

Rapa Roma Mkatoliki ambaye mpaka sasa anatamba na wimbo wake 'Zimbabwe' amefunguka na kudai Mbunge wa Mikumi (CHADEMA) ambaye pia ni msanii hip hop Bongo, Profesa Jay anasifa zote za kuitwa mkongwe wa bongofleva licha ya kuwa ndio role model wake. 

Roma ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha FRIDAY NIGHT LIVE 'FNL' inayorushwa kutoka EATV kila Ijumaa baada ya kuulizwa swali na muongozaji wa kipindi hicho kama Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay anaweza akawa na sifa ya kuitwa...

BINTI ATABIRI VIFO VYA WATU KWA KUWANUSA HARUFU ZAO

Mwanadada kutoka nchini Australia Ari Kala mwenye umri wa miaka 24 ameibua gumzo baadaya kugundua kuwa anauwezo wa kunusa harufu ya kifo kwa mtu. 

Mwanadada huyo ambaye kwa sasa anasomea taaluma ya saikolojia anasema kuwa aligundua kipaji chake hicho alipokuwa na miaka 12 alipokuwa ameenda kumtembelea mjomba wake aliyekuwa amekaribia kufa na ndipo...

Watch x Download: Rosa Ree ft Emtee_Way Up


Watch Here

Download: Nikki Wa Pili ft Vanessa Mdee_Legendary


Download

Watch & Download: Enock Bella_Kurubambe (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Diamond ft Rayvanny_Iyena (Official Video)


Watch Here

Download: Aslay_Totoa


Download