Pages

Subscribe:

Sunday, February 19, 2017

MAKABURI YAWEKEWA HUDUMA YA WIFI NETWORK HUKO MOSCOW



Kila kukicha walimwengu wanakuja na yao, yapo yanayohuzunisha na yale yanayofurahisha kama ilivyo lengo la safu hii, ni kukuacha ukifurahi tu kama si kupigwa na butwaa.

Zamani ilikuwa ni vigumu kumkuta mtu amesimama katika maeneo ya makaburi na hii ilikuwa ikiwahusu sana wale watu ambao wamekuwa na hofu ya kufa. Ndiyo maana...

TID NA DIAMOND KUJA NA COLLABLE HII


Kwa sasa msanii TID Mnyama anahakikisha anarudisha makali yake ya zamani kwenye muziki. Muimbaji huyo amewaahidi mashabiki wake kufanya kazi na Diamond hivi karibuni.


Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds FM Ijumaa hii, Mnyama amesema kuna nyimbo...

Watch & Download: Mb Dog_Uwe Wangu (Official Video)


Watch Here

DAYNA NYANGE: KAZI YANGU MPYA ITAKAYO KUJA NIMEFANYIA TENA KWA MR T TOUCH



Baada ya kufanya kazi takribani tatu mfululizo na mtayarishaji wa muziki nchini Mr T Touch, Dayna Nyange amethibitisha kuwa hata nyimbo yake inayokuja imefanywa na producer huyo. Hitmaker huyo wa Komela, ameiambia Bongo5 yeye na Touch wanafanya kazi nyingi pamoja na bado hajafikiria kufanya kazi na mtayarishaji mwingine kwa sasa.

“Wimbo wangu ujao ninaweza nikasema ndio umefanywa na T Touch kwa sababu ni mtu ambaye ninafanya naye kazi nyingi. Sijafikiria kubadilisha producer kwa sasa, tegemeeni kazi nyingi kutoka kwa Touch lakini kama...

MARTIN KADINDA: MAKONDA HAKUKOSEA KUMTAJA WEMA SEPETU

Meneja wa zamani wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amedai Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda hakukosea kumtaja Wema Sepetu kwenye list yake ya watuhumiwa wa biashara haramu ya madawa ya kulevya kutokana na aina ya marafiki ambao amekuwa nao.

Martin amedai yeye alitumia nguvu nyingi kumshauri muigizaji huyo kuachana na marafiki wasioeleweka. “Nadhani nilishakaa na Wema nikamwambia jina lako ni kubwa sana, unatakiwa...

Saturday, February 18, 2017

HII NDIYO SABABU YA RAY C KUZIMIKA KWA RAYVANNY


Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Ray C ni moja ya wasanii wanaomkubali sana Rayvanny kutoka WCB na sio tu kwa staili yake ya uimbaji bali pia anavutiwa sana na uandishi wake wa Mashairi.

Ray C amesema Rayvanny bado ni mdogo kiumri lakini kwa alipofikia na uwezo wake wa utungaji wa mashairi bila shaka yoyote atafika mbali sana kwenye muziki kwani hata yeye kwa sasa anatamani...

Watch & Download: Bonge La Nyau_Tusiachane (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Makomando_Saula (Official Video)


Watch Here

Download: Timbulo ft Nay Wa Mitego_Niambie


Download

ALIKIBA AFIKISHA MALALAMIKO YA MASHABIKI KWA WADHAMINI WAKE

Alikiba ameyasikia malalamiko ya mashabiki wake kuhusu ukimya wake wa hapa na pale na amekiri huumia sana kuona wakimrushia lawama. Kutokana na ukweli huo, hitmaker huyo wa Aje amedai kuwa amelazimika kuwaambia mabosi wa Sony kuwa wajipange vyema ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanaridhika.

Kwenye interview na millardayo.com, Alikiba amedai kuwa CEO wa Sony Music Africa, Sean Watson, ameiambia bodi ya label hiyo jinsi Alikiba alivyo na...

Doanload: Linex_Yaongeze


Download

JE, WAJUA ULIMI NDIYO SIRAHA KWA MANAUME KTK MAPENZI

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.

Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 3 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini...

NAY WA MITEGO: SIWEZI KUSHUSHWA NA MR T TOUCH KWENYE MUZIKI

Msanii wa muziki wa Hip Hop Emmanuel Elibariki a.k.a ‘Nay wa Mitego’ amesema hawezi kushuka kimuziki kwa kuachana na producer Mr. T Touchez na kusema kuwa hajawahi kuanguka katika muziki wake kutokana na maneno ya watu wanaomuombea mabaya.

Mr Nay amefunguka hayo wakati akijibu maswali ya wadau mbalimbali kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachoruka mubashara kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV ambapo baadhi ya maswali yalihoji kuwa...

Watch & Download: Queen Darleen ft RayVanny_Kijuso (Official Vdeo)


Watch Here

Watch & Download: Nandy_One Day (Official Video)


Watch Here

Download: TID ft Fid Q_Maisha Ya Jela


Download

HAYA NDIYO YALIYOJIRI MAHAKAMANI KWENYE KESI YA MASOGANGE

KIMUHEMUHE kilitanda kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana  Feb 17, 2017, kufuatia ndugu, jamaa na marafiki wa model, Agness Masogange kufurika huku wakitarajia kumuona ndugu yao huyo akifikishwa mahakamani hapo.

Ndugu hao waliwasili Kisutu mapema asubuhi na kuweka kambi mahakami ili kusikiliza kesi ya masogange anayehusishwa na...

Friday, February 17, 2017

THEA ATINGA KWENYE OFISI YA KAMISHNA WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

Msanii mkongwe wa filamu Thea ameibua maswali kwa wadau wa mambo baada ya kuonekana mchana huu akiwa ofisi ya Kamishna wa operesheni wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya iliyopo Upanga jijini Dar es salaam. 

Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa filamu na muziki wamekuwa...

FASHION: TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA YEEZ SEASON 5 ILIYO FANYIKA JANA

Cover
Haya sasa Kanye West amerudi upya na ujio mwingine wa collection yake ya Yeezy Season 5 fashion show ambayo imefanyika jana.
 
Yeezy Season 5 imetajwa kama ni moja ya fashion show yake kubwa ambayo imekuwa bora zaidi tangu kuachiwa kwa Yeezy season 1 ambayo nayo ilianza vizuri, kitu kingine kikubwa ambacho watu wengi walikifurahia ni...

Watch & Download: Davido_If (Official Video)


Watch Here

Listen & Download: Rose Muhando ft Oliva Wema_Lazima Wakae


Download

Listen & Download: Diamond Platnumz x Sporah_Kosa Langu


Download

NAY WA MITEGO: NTATOA LIST YA WASANII WANAO BEBWA MUDA WOWOTE

Imekua desturi ya Nay wa Mitego kuandika mistari ya utata kwenye baadhi ya ngoma zake,kitu ambacho kimejitokeza tena pia kwenye wimbo wake mpya, Muda Wetu.

Kwenye ngoma hiyo, Nay amedai kuwa kuna wasanii ambao wanabebwa kwa kupewa promo kubwa lakini promo ikikata wanabaki hawana lolote. Kwenye mahojiano na kipindi cha Supermega kupitia Kings Fm kinachoongozwa na Prince Ramalove, Nay ameweka wazi kuwa...

SO FAMOUS ENTERTAINMENT YA JAY MOE KUJA NA WASANII HAWA

Rapper Jay Moe amekuwa ni moja kati ya wasanii wachache wa zamani ambao mpaka sasa wanafanya vizuri. Hii ameionesha kwenye ngoma yake ya Pesa ya Madafu na ngoma alizoshirikishwa kama Mwendo Tu n.k.

Licha ya hivyo Jay Moe ameweka wazi kile ambacho amekuwa akikiongelea mara nyingi sana, So Famous Entertainment. Moe amesema, SFE ni management company ambayo itawasaidia...

Listen & Download: Nay Wa Mitego_Muda Wetu


Download

Download: Alikiba ft M.I_Aje rmx


Download

UKITAKA UGOMVI NA NAHREEL CHEZEA/GUSA MASHAVU YA AIKA

16123877_138574239985145_1369810433862533120_n 
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa The industry, Nahreel amefunguka sababu kubwa iliyomfanya kumpenda mpenzi wake Aika, ambaye wanaunda naye kundi la Navy Kenzo.

Nahreel alidai watu wengi wanadhani huenda alimpenda Aika kutokana na uzuri wake wa sura, uzuri wa umbo au uzuri wa kifua chake. Ila ukweli ni kwamba ni kutokana na uzuri wa...

Watch & Download: Alikiba ft M.I_Aje (Official Video) rmx


Watch Here

HATIMAYE MTV WAMKABIDHI ALIKIBA TUZO YAKE


Ilikuwa mwishoni mwa mwaka jana ndipo ambapo Mnigeria Wizkid alipotangazwa kimakosa kama mshindi wa Best African Act katika tuzo za MTV Europe Music Awards ikiwa mshindi halali wa tuzo hiyo ni Mtanzania Alikiba.

Ndipo ambapo uongozi wa msanii Alikiba ulipoamua kuchukua hatua na kuhakikisha tuzo hiyo inarudi kwao ikiwa wao ndio...

MISS TANZANIA: SIJAPEWA ZAWADI ZANGU MPAKA LEO

Related image
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana Edward amesema kwamba mpaka sasa bado hajamaliziwa kupewa zawadi zake.

Mrembo huyo mwenye asili ya kimasai kutoka Arusha amefunguka hayo nilipoongea naye exclusively hivi karibuni kwa kudai kuwa hajapewa zawadi zake mpaka leo ikiwemo gari na...

GIGY MONEY AMKIMBIA MWANAUME KISA KIPIGO

UHUSIANO wa kimapenzi uliotawaliwa na sarakasi nyingi, kati ya muuza nyago machachari Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ na mtangazaji mwenzake wa kituo kimoja cha redio nchini, Moulad Alpha ‘Moj’ hatimaye umevunjika baada ya mwanadada huyo kusalenda kutokana na madai kwamba mchizi alikuwa akimshushia sana kichapo mwanadada huyo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu na wawili hao, licha ya Gigy kuonekana machachari kwenye jamii, tangu aanzane na Moj aliamua kutulia mno, tatizo ni kwamba jamaa...

DADA WA DIAMOND ALIA KWA KUKOSA WANAUME

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine.

Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na mzazi mwenziye aliyezaa naye mtoto mmoja wa kike hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi jambo ambalo...

RIDHIWAN KIKWETE AUTAKA UONGOZI WA BARCELONA KURUDI KTK FALSAFA YA SOKA LAO

Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni miongoni mwa wadau wakubwa wa soka nchini Tanzania, Ridhiwani Kikwete ameutaka uongozi wa klabu ya FC Barcelona ya nchini Hispania kurudi kwenye falsafa yake ya uchezaji, na kuachana na mtindo unaotumiwa hivi sasa.

Kikwete ametoa taarifa hiyo ya kuwasiliana na uongozi wa Barcelona jana akiwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast cha EA Radio, ambapo amesema kuwa yeye kama mwanachama wa klabu hiyo ameumizwa sana na...

KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA YUSSUF MANJI KUTOKA KWA DHAMANA

Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika haya baada ya kuona taarifa za Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga kuachiwa kwa dhamana leo Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwenye sakata la dawa za kulevya...

ERIC OMONDI: DIAMOND NDIYE ALIYE NIFUNGULI MILANGO SOKO LA TANZANIA

Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi ijumaa iliyopita ya tarehe 10 alifunguka jinsi Diamond alivyomsaidia kupenya kwenye soko la Tanzania.

Omondi anasema kwa mara ya kwanza alikutana na Diamond Mombasa nchini Kenya akiwa kwenye harakati za kurekodi wimbo wa Diamond unaoitwa Nabeba Mawe.
Katika mazungumzo yao Diamond alimualika Omondi kwenye...

MWAKYEMBE AELEZA JINSI ALIVYO ZIDIWA UJANJA NA AGNESS MASOGANGE

Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amedai kuwa sababu ya kumshika mrembo maarufu wa video za muziki nchini, Agnes ‘Masogange’ Gerald ni kupata taarifa kuwa huenda akawa mmoja wa wauzaji, watumiaji ama wasafirishaji wa dawa za kulevya.

“Kwahiyo tumemhoji, tumemsachi na tumempeleka kwa mkemia wa serikali,” Sirro amewaambia...

MERCEDES BENZ KUTENGENEZA GARI ITAKAYO UZWA KWA WATU 9 TU DUNIANI

Kampuni ya Mercedes Benz imetangaza toleo lao jipya ya gari za kifahari aina ya Maybach — ambalo ni gari la kifahari lenye muonekano wa gari linaloweza kuhimili barabara mbovu.

Gari hili linaitwa Mercedes G650 Landaulet, lina nafasi kubwa kuliko tulivyozoea gari nyingi zilivyo na viti vyake vimetengenezwa kukufanya ustarehe zaidi ya...