Pages

Subscribe:

Thursday, April 6, 2017

Story: PENZI LA DADA (SEHEMU YA KUMI) 11


Baada ya kuonyeshwa chumba ntakachokua nnalala na Coleen na kuagana niliingia ndani na kuanza kujiandaa ili niweze kulala ktk makazi yangu mapya kwa mara ya
kwanza haikua rahis hata kidogo nilishapazoea Chicago sana nilijuana na watu wengi
wakiwemo wafanyakazi wenzangu ss nahamia ktk ofisi na Nyumba mpya mbali na Coleen na wapwa zangu hakuna nnaowajua ktk mji huo kwahyo mawazo yalikua mngi yaliyonisonga.


Sikuweza kupata usingi kwa haraka,, masaa yakapita nikiwa nimekaa kitandani huku
nikfikiria nitaanzia wapi ila mwishowe nikajipa moyo pengine huu ndio utakua mwanzo wa maisha mapya huku...

pia na nikikumbuka kuwa nitakua karibu na Coleen ikawa ss afadhali hata mawazo yakapungua na tabasamu likatoka walau kidogo.

Sikujua ilikua saa ngapi nilipitiwa na usingizi ila nilikuja kushitushwa na sauti ya watoto wawili waliolukia kitandani na kuanza kuvuta shuka kufumbua macho na kuwaangalia alikua Sweet ambae ni mkubwa na mdogo wake katrina ni mda mrefu ulipita tangu nionane nao kwa mara ya mwisho walikua wadogo sana ss hv wote walikua amekua nilisalimiana nao.


kwa mda kisha nikatoka nao kwenda sebureni ambako tulimkuta Coleen akiwa anaandaa chai huku akiwa kavaa t-shirt ndefu peke yake bila kivazi kingine chochote nikajikuta naanza kutathmini miguu iliyoumbika ya Coleen, bila kufikiria wakati na mahala tulipo Coleen alikua na mguu mzuri yeny kila sifa ya kuitwa mguu wa msichana mrembo huku nikipanda taratibu hadi sehem za mapajani huku nikiomba na
kutamani walau ile t-shirt ingpanda juu kidogo lakin hlo halikutokea.


Siku nzima ilikua njema kwani nilikua mwnye furaha kutwa nzima huku Watoto wa Coleen sweet na katrina akizidi kuioongeza furaha yangu na kunifanya niamini ule msemo watoto ni matunda mazuri ya familia ilikua kama ajabu lakini wakati wote huo ckumkumbuka Tayna hata kidogo hadi pale Colen alipogusia swala la biashara ambayo mm na Tayna tuliua tumeanza nayo itakuaje haswa baada ya Tayna kua hatuko nae tena.


Nilikaa kimya kwa mda bila kujibu kitu hadi Coleen akasema "John samahani kama nimekukumbusha jambo linalouma kama hlo nisamehe na c lazima ujibu" nikamkatisha kwa kumwambia "usijali kawaida unajua hatua tuliyokua mm na Tayna ilikua tunaelekea ktk hatua nyingne kuba maishani nayo ni ndoa mara nikisikia jina lake nakumbuka mengi sana".


Coleen akanishika mkono na kuniambia "naomba uwe na nguvu cku zote ktk wakati
huu mgumu" bila kusita nikasema ahsante sana......huku nikshika mkono wa Coleen ambao ulikua laini na nyororo baada ya maongezi marefu tukaamua kutoka na kuzunguka kidogo mtaani kisha turudi na champaigne ambayo tungekunywa wakati tukiwa nyumbani mitaa ya Port elizabeth ilikua mizuri ni iliyotulia kama Chicago ila 2 kulikua hakuna mpishano wa watu wngi kwani ni mji mdogo ukilinganisha na Chicago. 


Baada ya kama nusu saa ya matembezi Coleen akasema turudi nyumbanai ss anagarau umeona sehem ndogo inayozunguka mtaa wetu tulipita dukani na kuchukua champaigne tulichukua yeny kilevi ambayo tulihisi ingetufaa zaidi baada ya kufika nyumbani ulikua ni wakati wa kupeleka watoto wakalale tuliwapeleka hadi chumbani kwao na kuwazimia taa kisha kuwaagawote.


Walinikimbilia na kunibusu shavuni!!! nilifurahi sana upendo waliokua nao kwangu ingawa ni muda mrefu tulikua hatujaonana, tulitoka na Coleen moja kwa moja hadi mahali ambako Coleen alitengeneza sehemu maalamu ambako huwa anapatumia kupata kinywaji nilichukua glasi huku nikmimina champaigne ktk glasi zetu kisha nikakaa na kuanza kuonga vitu vingi


vinanyohusu mji wa port elizabeth wakati tunaongea nilimchomekea Coleen swali
mlionana wapi na mume wako mana mda fupi baada tya kuhamia mji huu ukatangaza kuolewa?? haya yalikua maswali ya kawaida kwetu kuulizana kwahyo, Coleen bila kusita akaanza kunijibua.


Simulizi zitakujia hapa hapa kila siku kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne asubuhi na ukipitwa na story basi nenda hapo juu kwenye menyu kisha bofya mahali palipo andikwa LOVE & STORY. Pia waweza kudownload Application yetu kwa kubofya neno DOWNLOAD hapo chini ufuate na maelekezo ili uweze kupata story na updates mbalimbali kwa muda muafaka na kwa urahisi zaidi.
 

Tukutane tena kesho muda kama huu.. ahsante


Download

0 comments:

Post a Comment