Pages

Subscribe:

Tuesday, April 4, 2017

COLLABLE YA JOH MAKINI NA DAVIDO VIDEO YAFIKIA HATUA ZA MWISHO



Rapper kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekuwa akipokea maswali mengi sana yanayohusu Collabo kati yake na Mkali kutoka Nigeria Davido, ambapo stori za ngoma hiyo kufanyika zilisambaa toka mwaka 2014 Davido alipoletwa na Clouds Media kwa ajili ya tamasha la Fiesta.

Good news ni kwamba Collabo hiyo kwa sasa iko kwenye hatua za mwisho kwa sababu Joh Makini ameenda kukutana na Davido South Africa kwa ajili ya kushoot ngoma hiyo ambapo...
haijajulikana lini itatoka rasmi audio pamoja na video yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Davido athibitisha ujio huo kwa kupost  picha akiwa pamoja na Joh Makini na kuandika maneno yalisomeka “Back to work On set shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ  x NAIJA”

0 comments:

Post a Comment