Pages

Subscribe:

Tuesday, April 4, 2017

WEMA APENDEZESHA JARIDA LA TRUE LOVE LA NCHINI KENYA


Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekava jarida kubwa la True Love Magazine East Africa la nchini Kenya.

Kwa sasa jarida hilo linaingia mtaani katika msimu huu wa pasaka. Kupitia Instagram, True Love Magazine East Africa, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti. Katika jarida hilo Wema amezungumzia...
hela, wanaume pamoja na maisha yake kwa ujumla.

0 comments:

Post a Comment