Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

JOH CENA ASHANGAZA WATU AADA YA KUMFANYIA NIKKI BELLA JAMBO HILI



Dunia nzima leo hii inakiongelea alichokifanya mwana mieleka maarufu Duniani John Cena kwa kile alichokifanya alfajiri ya kuamkia leo kwenye Wrestle Mania 33.

Ni baada ya kumvisha pete mpenzi wake wa muda mrefu Nikki Bella ambaye nae ni mpiganaji wa mchezo huo wa mieleka.Nimeinyaka clip ya tukio hilo alilolifanya John Cena, bonyeza play hapa chini uweze kutazama...

Watch Here

0 comments:

Post a Comment